Kuna Dhambi Gani Rais Kuwa Mwanamke?

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,140
13,215
7_76c13.jpg
nimeshangazwa na bullet ya mwisho kwenye habari ya Joyce Banda
 
Hii ni Afrika, mwanamke c kiongozi mpka zinapokuja theory za kizungu, otherwise, kwetu Afrika mwanamke ni mama wa nyumbani kiongozi wa watoto.
 
Joyce alijichanya sana asingeweza kushinda kwanza alitaka kutuingiza vitani na watu malawi watu hawakupenda kabisa pia kafanya mambo mengi ya hovyo malawi asingeweza kushinda hata kidogo.
 
Wamalawi ni Vichwa. Tangu lini mwanamke akaongoza wanaume.

Mwingine ametiwa ndani Malaysia.

Mwanamke ni starehe na pia shamba la mbegu .

Ndio dunia ilivyoumbwa.
 
Hii ni Afrika, mwanamke c kiongozi mpka zinapokuja theory za kizungu, otherwise, kwetu Afrika mwanamke ni mama wa nyumbani kiongozi wa watoto.

Afrika imekua na historia nzuri ya marais wanawake kuliko hata hao wazungu, wapo viongozi wengi tu wanawake wakiwemo wabunge nk, Bunge la Rwanda linaongozwa na wanawake.........bado unaizungumzia Afrika ipi?
 
Joyce alijichanya sana asingeweza kushinda kwanza alitaka kutuingiza vitani na watu malawi watu hawakupenda kabisa pia kafanya mambo mengi ya hovyo malawi asingeweza kushinda hata kidogo.

tulipopigana na Uganda walikua na Rais mwanamke? Marais wengi tu wameingiza nchi zao vitani bika kujali jinsi yao
 
Wamalawi wameona silaha za Tz. Wanaogopa huyu mama ataichokoza tena Tz.
 
Hii ni Afrika, mwanamke c kiongozi mpka zinapokuja theory za kizungu, otherwise, kwetu Afrika mwanamke ni mama wa nyumbani kiongozi wa watoto.

huo ndio ukweli ambao wenye akili za kushikiliwa hawataki kuukubali wakiongozwa na joyce kilia
 
Back
Top Bottom