Kuna dawa ya kienyeji ya kutibu ugonjwa wa kisukari?

Can diabetes still be cured?
While diabetes is incurable, a person can stay in remission for a long time. No cure for diabetes currently exists, but the disease can go into remission. When diabetes goes into remission, it means that the body does not show any signs of diabetes, although the disease is technically still present.
Mkuu Hakuna dawa ya hospitali itakayoweza kukutibu maradhi yako ya kisukari. Huwezi kupona kw akutumia Dawa za Hospitali utatumia dawa za hospitali mpaka mwisho wa maisha yako na hutoweza kupona hayo maradhi ya kisukari . Unaweza kupona kwa kutumia Dawa za Asili.

Uongo
 
Inawezekana lakn tatzo ni madhara kwenye ini na Figo mara kwa mara ndo yanayotesa baada ya muda mrefu wa kutumia dawa za kienyeji
 
dawa ya kisukari ni kufanya mazoezi,kuacha vitu vya sukari, na kula mbogamboga zenye protini na pia punguza ulaji wa chumvi,vyakula vya wanga kula kdg sana na mara moja moja.
 
Wacha kupotosha kama kitu hukijui kaa kimya, aliyekuambia dawa ya kisukari hamna ni nani? Labda hospitalini ndio hamna lkn dawa zipo za asili na zenye kuponya, hivyo muwache muhusika apambane kuitafuta mana hospitali washasema dawa ya kuponya kisukari hamna ila ipo ya kutuliza, ss muhusika dawa ya kutuliza kapewa na haitaki mana anataka kupona, ss wewe kwnn unamtisha mwenzio? Watu wamepona magonjwa makubwa na mazito kwa dawa za asili mimi shahidi unasema nini wewe.
Ndugu yangu ni kweli hayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom