Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,498
- 51,092
Hilo mbona hata CCM wanalijua
Mkuu siku nyingine ukitaka kuwa na Safari za Aina hii Kaka, tupeane tarifa aisee, Sato! Sato jama, Daah!Mwanza ya pembeni ya ziwa Victoria.
Uchaguzi ukiwa huru na haki atabeba kisosi cha chai, watanzania siyo wajinga wanajua maendeleo ni pesa zao za walipa kodi na ni lazima yawepo kwani siyo Ombi, CCM kujinadi kuleta maendeleo utazani ni Hisani ya CCM na pesa zao binafsi hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu atakubali hizo propaganda za CCM.Hakuna dalili yoyote Magufuli anabeba ndoo asubuhi saana.
Hilo ndiyo tatizo LA chaguzi zetu,tumewapa watu wasioaminiwa na wote kuwa refarii.Tunatakiwa tufunge magoli mengi ya ushindi ili refa akileta zake tutakuwa narejea.Bila kupiga kura za kutosha tutakosa utetezi.Nimetembea kama mikoa minne, Mwanza, Mara, Kigoma na Iringa. Huko kote nimeongea na wananchi mbalimbali, nilichogundua ni kuwa bado wananchi wanataka kuona mabadiliko ya chama kilichoko madarakani.
Ni kama kilichotokea uchaguzi uliopita hawajakubaliana na chama kilichopo. Suala la kwamba wananchi wameichoka ccm, hilo wala halina mjadala, ila wanakosa uwanja wa kuonyesha hisia zao. Nilichojifunza ni kuwa watu hawana imani tena na tume ya uchaguzi.
98% ? ni malaika huyo? bumbaaavAmka ndotoni Mkuu
Kwa hii CCM ya Magufuli, Wapinzani hata wangeungana na jublee ya Kenyatta
Ccm ushindi ni 98%
Akili ya watanzania hiyo ni dhana isiyozungumzika kwa namna moja. Ndani ya wanachama wa upinzani kuna wasio na akili na ndani ya ccm pia kuna wasio na akili.Uchaguzi ukiwa huru na haki atabeba kisosi cha chai, watanzania siyo wajinga wanajua maendeleo ni pesa zao za walipa kodi na ni lazima yawepo kwani siyo Ombi, CCM kujinadi kuleta maendeleo utazani ni Hisani ya CCM na pesa zao binafsi hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu atakubali hizo propaganda za CCM.
Watanzania wameamka Nchi ina zaidi ya miaka 50 haina maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa nyingi inapotelea kwa mambo yasiyo na Tija kwa TaifaNimetembea kama mikoa minne, Mwanza, Mara, Kigoma na Iringa. Huko kote nimeongea na wananchi mbalimbali, nilichogundua ni kuwa bado wananchi wanataka kuona mabadiliko ya chama kilichoko madarakani.
Ni kama kilichotokea uchaguzi uliopita hawajakubaliana na chama kilichopo. Suala la kwamba wananchi wameichoka ccm, hilo wala halina mjadala, ila wanakosa uwanja wa kuonyesha hisia zao. Nilichojifunza ni kuwa watu hawana imani tena na tume ya uchaguzi.
Hilo ndiyo tatizo LA chaguzi zetu,tumewapa watu wasioaminiwa na wote kuwa refarii.Tunatakiwa tufunge magoli mengi ya ushindi ili refa akileta zake tutakuwa narejea.Bila kupiga kura za kutosha tutakosa utetezi.
Kura yangu inaenda upinzani kuanzia ya diwani,ubunge na urais,wewe je?
Amka ndotoni Mkuu
Kwa hii CCM ya Magufuli, Wapinzani hata wangeungana na jublee ya Kenyatta
Ccm ushindi ni 98%
Ushahidi upo mkuu??Pesa inayotumika kuihujumu kuidhoofisha chadema tu ingeweza kuilisha Tanzania hata miaka kumi pasipo mtu kulia njaa
Hii kukariri ni mbaya,tume ni huru miaka yote hakuna uchaguzi Tanzania umefanyika bila tume huru,na ndio maana vyama vyote vinashiriki uchaguzi.utashiriki vipi uchaguzi kama tume sio huru? Huu wimbo wa tume sio huru ni dalili ya kuogopa uchaguzi (wanajua hawawezi kushinda)yes, kwa kutumia mapolisi sawa.
Usimuamshe Alie lalaAmka ndotoni Mkuu
Kwa hii CCM ya Magufuli, Wapinzani hata wangeungana na jublee ya Kenyatta
Ccm ushindi ni 98%
Wataitwa wapinzani mpaka watazeeka na Sacco's zao,yaaani hata sera ya upinzani hatuijui na mshajitangazia ushindi?? mnafeli wap wapinzani