Kuna dalili zote awamu ya tano ikawa ya 'kidikiteta'

mpk

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
3,115
3,862
Baada ya kuingia madarakani pamoja na sifa zote alizopewa lakini ukweli ni kwamba alianza kuendesha nchi kwa amri. Watu wamekamatwa, nyumba zimebomolewa na sherehe kufutwa. Likaja baraza nalo likaanza vamia vamia na amri zikandelea kama kawaida.

Mpaka wakuu wa wilaya ktk awamu hii wanaamru kuweka watu ndani. Wakuu wa mikoa wanafukuza watumishi walioajiriwa na Halmashauri za wilaya! Kama kuna idara ya serikali imeanza vibaya ni polisi, wanaendeleza ubabe kama kawaida. Wanabambikiza watu kesi kuliko awamu yoyote
 
Tatizo watanzania hawajazoea kufuata sheria. Inapofika wakati wa kifuata sheria mtanzania anabainisha tendo hilo kama idikteta. Huwezi bomolewa kama umejenga sehemu halali na kihalali. Huwezi kusomamishwa kama uko sahihi. Tatizo.inakuwa hapa mwanzo watu walilemaa sana kwahiyo kufuata shweia wao hawaoni kama ni lazima.
 
Kuna tofauti kubwa kati utawala wa sheria na udikiteta
 
Baada ya kuingia madarakani pamoja na sifa zote alizopewa lakini ukweli ni kwamba alianza kuendesha nchi kwa amri. Watu wamekamatwa, nyumba zimebomolewa na sherehe kufutwa. Likaja baraza nalo likaanza vamia vamia na amri zikandelea kama kawaida.

Mpaka wakuu wa wilaya ktk awamu hii wanaamru kuweka watu ndani. Wakuu wa mikoa wanafukuza watumishi walioajiriwa na Halmashauri za wilaya! Kama kuna idara ya serikali imeanza vibaya ni polisi, wanaendeleza ubabe kama kawaida. Wanabambikiza watu kesi kuliko awamu yoyote

Umeanza kujihami? acha wakufumue kudadeki
 
Kama ni udikteta wa kuleta maendeleo nimekuwa nauombea sana kwa mungu uwepo maana hamna namna lkn kama ni udikteta wa kuimarisha fisiem basi shenzytime.
 
Back
Top Bottom