pauli jm
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 391
- 278
Kuna dalili zaku kabiliana na
ukame waku tisha Tanzania mwaka hu!
Jana nili ongea na mama yangu akiwa Kilimanjaro aka niambia kuna bonge moja la jua, nani mara kwamara tangu huu mwaka uanze joto kilimanjaro nilaku tisha kiasi yakwamba, mahindi tuliyo yapanda mwaka huu mwanzoni kabisaa yali kauka kwa baadhi ya maeneo.
Tuka panda tena maharagwe nayo jana mama kani ambia yakwamba yasha kauka na eneo loote la jirani na kenya mambo nimagumu mazo kwa wingi yame,kauka hali nimbaya kwa upande wa kule tarakea kiasi yakwamba unga wa dona kilo moja nimpaka (1000) hiyo ni dona.
Huko ni kilimanjaro kwaupande wa hapa nilipo {mbeya} hali kwa hizi siku mbili tatu ninzuri juzi mvua ili nyesha hapa uyole ila kwa kipindi cha kati yamwezi wapili kuli kuwa nabonge lajua kiasi yakwamba mazao kama mbogamboga zili kauka.
Nahata mahindi yangu yalipata taabu sana kwani jua lili zidi yakawa narangi ya njanoo. hata sasa,yana zaalakini kwataabu kama mvua inge chelewa,kwa siku kama nne tu! Tunge lazimika kuya tupa kuwapa wa fugaji waya lishe mifugo yao.
Nina jaribu kuji uliza mikoa mingine, nayo vipi kama mikoa kama hii tuliyo zoelea mvua hali ndiyo kama hi! Mikoa kame kihisitoria kama singida dodoma namingineyo hali iko vipi tujuzane.