Kuna dalili za game ya Yanga kutooneshwa kukwepa aibu

Mshuza2

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
11,007
16,413
Sioni dalili za game ya Yanga kuoneshwa..yawezekana ikawa ni ombi lao ili kukwepa aibu ya kuona jinsi watakavyokua wakiadabishwa na pyramids.. Hata hivyo dunia kijiji link zipo na wale wa dstv kama kama kawa kama dawa..
FB_IMG_15727620286489682.jpg

Updates: Azam wameshindwa kwenda mbashara.
Nilichokua nahisi kimetimia..pamoja na matangazo Azam wameshindwa kuonesha.
 
Acha mipasho unadhani Yanga anaenda kula viganja kama mlivyozoea? Azam wako live Sports 2,Dunia saizi ni kijiji hata wasipoonyesha live streaming zipo kibao tu labda kama we ni mshamba huzijui ndiyo maana anakurupuka we mbumbumbu fc fan
 
Back
Top Bottom