Kuna dalili Serikali inapoteza mapato mengi sana kupitia hizi stamp za bidhaa

Wil2018

Senior Member
May 25, 2019
148
203
Niende moja kwa moja kwenye mada hapo juu kama kichwa cha habari kinavyosema, serikali ya nchi yetu inajitahidi sana kufikia malengo yaliyojiwekea kwenye ukusanyaji wa mapato,kupitia bidhaa zinazolishwa viwandani, na hata pia kwa watoa huduma yani ( service product) TRA wameweka mfumo fulani google playstore wakishirikiana na kampuni fulani jina kidogo nimesahau kuhakiki stamp za bidhaa kwa kwa mlaji wa mwisho aweze kufahamu pesa aliyolipia kwa bidhaa hyo je serikali imepata mapato yake au laa, lakini nilichobaini mfumo huo haufanyi kazi ipasavyo.

Ushauri wangu kwa serikali kupitia wizara ya fedha hadi TRA ambao wenye mamlaka ya kukusanya mapato nchini, nini kifanyike?

Wanatakiwa waajiri vijana interms of payment commission kuhakiki stamp za bidhaa hzo kwa wholesalers hii ienaenda sambamba nakuhimarisha mifumo ya database pamoja na internet iwe yenye kasi zaidi katika kutoa majibu ya haraka, hatua hii itasaidia Serikali kuthibiti mapato kwakiwango kikubwa sana, hasa huko zinapozalishwa, kwani mianyaa ya upotevu wa mapato kupitia bidhaa za viwandani utakuwa ni mdogo sana.

Hivyo basi serikali itaweza kufikia malengo yake.
 
Back
Top Bottom