Kuna dalili kubwa Lulu kupata Msamaa wa Rais

Rais yupi,wa msoga au huyu wa chato,naona mmepoteza majira
Mawazo yenu yapo msoga acheni masikhara sisi wandengereko tunasema vuli ya mwaka jana si sawa na ya mwaka huu
 
duh!! kesi ya mauaji ina msamaha mkuu!!!

basi Magu akifanya hivo itakuwa kituko cha karne!!!!
 
Dad's is coming, yawezekana maana Kwa matamshi yake yeye ni no Mbili mwenye kujiamini baada ya no 1 Kwa hio inawezekana.Amkumbuke na babu seya pia.
 
Back
Top Bottom