KELVIN GASPER
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,066
- 454
Inadai mugabe amefariki muda si mrefu na amekuwa akisumbuliwa na kansa ya kibofu
Na wewe ungeitembeza huku sasa iko wapiInadai mugabe amefariki muda si mrefu na amekuwa akisumbuliwa na kansa ya kibofu
😅😅Alivyokuwa hapendi ushoga nadhani alikataa kuingizwa vidole ili apimwe
Share the clip muungwanaInadai mugabe amefariki muda si mrefu na amekuwa akisumbuliwa na kansa ya kibofu
Akajifie mbele...aliyowafanyia wazimbabwe atakutana nayo huko mbele....Inadai mugabe amefariki muda si mrefu na amekuwa akisumbuliwa na kansa ya kibofu
Si alikuwa rais mbabe! Alishindwa kuizuia kwa jeshi.Inadai mugabe amefariki muda si mrefu na amekuwa akisumbuliwa na kansa ya kibofu
vipi kuhusu grace wakeSi alikuwa rais mbabe! Alishindwa kuizuia kwa jeshi.
kuna watu wanatamani yanayotokea kwa Mugabe yatokee na hapa bongo