Kuna Clinical Officer anatafuta kazi

kombaME

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
2,115
2,809
Wazima ndugu zangu humu,

Nina dogo ni Clinical Officer alikuwa anajitolea ili kupata uzoefu, ashajitolea kwa miaka miwili na yupo vizuri, amejaribu kuomba Ajira serikalini hajapata, Kwahiyo kama kuna zahanati,kituo cha afya,hospital,shirika au taasisi zenye nafasi yupo tayari kufanya.

Na mchapakazi hasa na ni mwaminifu sana.

Mawasiliano yake 0622090884
 
Mungu atamsaidia atapata tu🙏
 
Kazi hiyo hapoView attachment 1212672
Screenshot_20190921-091039.jpeg
Screenshot_20190921-091047.jpeg
Screenshot_20190921-091053.jpeg
 
Back
Top Bottom