Kuna chama kimeyumba,hakina Agenda yoyote zaidi ya kuparamia kila kauli ya kada wa CCM

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
680
1,338
Kuna chama maarufu ambacho siku za nyuma kilijipatia umaarufu kwa Agenda yake kuu ya Ufisadi na kupika Viongozi wenye fikra chanya.

Baada miaka minne iliyopita kuingizwa mjini na gwiji la siasa hatimaye kusahau kauli mbiu yake ya Ufisadi sasa tunaona vituko

Sasa hivi kada yoyote wa CCM akiongea jambo lolote tu wao sasa hivi ni ku shadadia jambo hilo hata kama halina mantiki

Sasa hivi wamekuwa kama fisi kila jambo wanadandia tena ili mradi limezungumwa na kada wa CCM ambao hawa makada huko nyuma wao ndio walikuwa wanawatukana masaa 24 lakini kwao eti leo wamekuwa lulu!maajabu.

Kwa mwendo huu wa Rais magufuli baada ya kumaliza awamu zake mbili nadhan watakuwa na mpauko mkubwa wa kisiasa na sababu kuu ni kuwa Watanzania sasa wamewagundua nia na dhamira yao ovu.

Tukutane 2020 na kila mmoja arudi kwake aeleze aliwatendea nini wapiga kura wake

##JPM KIOO TUELEKEACHO
Alex Fredrick
Dar es salaam
 
Hahahaaaaaaa
Wanaroopoka tuuuu...na kushabikia kila neno
Bora wapumzike 2020...washabikie vema
 
Nyie msiekuwa na adabu ambao kazi yenu kutukana Viongozi ambao pia ni wazazi wenu ila awamu hii mtafunzwa adabu vuzuri
 
Kuna chama maarufu ambacho siku za nyuma kilijipatia umaarufu kwa Agenda yake kuu ya Ufisadi na kupika Viongozi wenye fikra chanya.

Baada miaka minne iliyopita kuingizwa mjini na gwiji la siasa hatimaye kusahau kauli mbiu yake ya Ufisadi sasa tunaona vituko

Sasa hivi kada yoyote wa CCM akiongea jambo lolote tu wao sasa hivi ni ku shadadia jambo hilo hata kama halina mantiki

Sasa hivi wamekuwa kama fisi kila jambo wanadandia tena ili mradi limezungumwa na kada wa CCM ambao hawa makada huko nyuma wao ndio walikuwa wanawatukana masaa 24 lakini kwao eti leo wamekuwa lulu!maajabu.

Kwa mwendo huu wa Rais magufuli baada ya kumaliza awamu zake mbili nadhan watakuwa na mpauko mkubwa wa kisiasa na sababu kuu ni kuwa Watanzania sasa wamewagundua nia na dhamira yao ovu.

Tukutane 2020 na kila mmoja arudi kwake aeleze aliwatendea nini wapiga kura wake

##JPM KIOO TUELEKEACHO
Alex Fredrick
Dar es salaam
Chadomo,ufipaz saccos
 
Katibu Mkuu mwingine huyu hapa
Cc Bashiri
 
Sidhani kama ililikua jukwaa sahihi kuelezana upuuzi ule na madukuduku ya ukabila bila kujua ule ni utani wa kawaida kuhusu wachaga kupenda sana pesa.
 
Utani gani ule mkuu,

Kusema hajawahi kuona mchaga akitoa pesa yake kysaidia wasiojiweza ni utani huo?

Ametukera sana sisi wachaga wote

Kutoa au kutokutoa ni MTU binafsi sio kabila lote unalijumlishia huko
 
Mimi nafikiri kuliko kuja hapa ukirukaruka kama maharage yaliyogoma kuiva jikoni, ungewashauri hao unaowaita makada wa ccm waache kutoa hizo kauli ili hao wengine wakose cha kuongea.
 
Haya ndiyo madhara ya kutembea umevaa suruali bila nguo ya ndani. Ukiinama na kuinuka ghafla hadharani unajikuta simu imepost upuuzi kama huo.
 
Sidhani kama ililikua jukwaa sahihi kuelezana upuuzi ule na madukuduku ya ukabila bila kujua ule ni utani wa kawaida kuhusu wachaga kupenda sana pesa.
Wewe na Bashiru aliyekiri alichofanya mumeo ni kosa nani mwenye akili?
 
Nimeongelea usahihi wa platform iliyotumika kuelezea hayo madukuduku pia mkuu. Sio lazima na wewe uone hivyo haswa kama ni mshabiki wa siasa za bongo. Najua mume wangu amekosea ila na mimi nipo imara kama mama Gwa**ma!
 
Kuna chama maarufu ambacho siku za nyuma kilijipatia umaarufu kwa Agenda yake kuu ya Ufisadi na kupika Viongozi wenye fikra chanya.

Baada miaka minne iliyopita kuingizwa mjini na gwiji la siasa hatimaye kusahau kauli mbiu yake ya Ufisadi sasa tunaona vituko

Sasa hivi kada yoyote wa CCM akiongea jambo lolote tu wao sasa hivi ni ku shadadia jambo hilo hata kama halina mantiki

Sasa hivi wamekuwa kama fisi kila jambo wanadandia tena ili mradi limezungumwa na kada wa CCM ambao hawa makada huko nyuma wao ndio walikuwa wanawatukana masaa 24 lakini kwao eti leo wamekuwa lulu!maajabu.

Kwa mwendo huu wa Rais magufuli baada ya kumaliza awamu zake mbili nadhan watakuwa na mpauko mkubwa wa kisiasa na sababu kuu ni kuwa Watanzania sasa wamewagundua nia na dhamira yao ovu.

Tukutane 2020 na kila mmoja arudi kwake aeleze aliwatendea nini wapiga kura wake

##JPM KIOO TUELEKEACHO
Alex Fredrick
Dar es salaam
Vipi Mafisadi wamekimbilia wapi?
 
Tangu awamu hii ianze hilo wengine tulishaliona.. na wataendelea hadi wamalize kujichimbia.
 
Back
Top Bottom