Kuna cha kujifunza hapa, inakuwaje dereva bodaboda ana kitambi na uzito mkubwa?

Kitambi ni ishara ya lishe mbovu..ni suala la muda tu kisukari in loading....Kuna mmoja aliniambia Leo nimekula chakula kizuri Sana Cha afya chakula chenyewe ni chips kuku...elimu ya lishe Bado tatizo..watu wengi wanaamini kitambi ndio ishara ya mafanikio au baba wa maana au ndio afya yako iko Safi...
 
Siku moja nikiwa Kariakoo niliona jambo la kustaajabisha sana. Nilikuta kundi la boda boda wana miili mikubwa kushinda hata ukubwa wa TVS walikuwa nazo ndipo nikajiulizw why wana miili mikubwa kama majitu?

Na haya ndio majibu

Watu tuna kula sana kuliko tunavyo wekeza yes wengi ya bodaboda wanatoka familia tofauti na pindi wanapo pata pesa mara nyingi hula pasipo mpango akiona kuku kala akiona juice kanywa akiona dagaa kala akiona energ drink kanywa pipi kala akiona ndizi lete yani anakula kula tu na mwisho baadae anapata zege na kuku aina hii ya ulaji ni aina yakimasikin na inawatesa watu wengi sana duniani.
ni kweli mkuu
 
Hivi bongo mna maisha kweli? ukinenepa shida!!! ukikonda shida!! ukila sana shida, ukila kidogo unaumwa vidonda vya tumbo! eti unakashfiwa afya mgogoro!!!!! mara uitwe majina Betina! sasa sijui mnataka waishije?

wajameni appetite ni kitu adimu sana ujue??........wengine wasiokuwa nayo wana nuna sana hasa wenye kisukari!!! mweeee! wana hasira hao!!! kuna mwingine akila maharage tu utamhurumia kwa jinsi atakavyo umwa tumbo mfululizo!

Haya boda boda wa watu, baada ya kazi kala harage kwa raha zake!!! ............weye unaumia jamani waafrica? \Sijui mna nini huko up stairs!! ndo maana mnawanga!! km huna uwezo wa kupiga ndondo!! ajili ya stress ni wewe!! waache madogo watafune vyao!!!

Kazi si wanafanya wao? Nani alikufa ajili ya kufanya kazi na kula?? acha roho ya kisununu hiyo! .....Bongo imekushinda rudi kwenu kijijini! unadhani utajiri ni kuwa km Bakhresa tu!! wale madogo wana hele kuliko hata mfanya kazi wa TRA!
 
Kitambi ni ishara ya lishe mbovu..ni suala la muda tu kisukari in loading....Kuna mmoja aliniambia Leo nimekula chakula kizuri Sana Cha afya chakula chenyewe ni chips kuku...elimu ya lishe Bado tatizo..watu wengi wanaamini kitambi ndio ishara ya mafanikio au baba wa maana au ndio afya yako iko Safi...
Kwa waafrica ndivo hivo!! lkn wazungu ukiwa na kitambi ni maradhi
 
Kuna jamaa ni bodaboda ananenepa karibu kila siku aisee.

Sasa hivi ule uskani wa boda yake unaguswa na ndambi yake.
Kuna mda huwa najiuliza hivi mpaka mtu anakua kibonge namna ile anakua hajioni au anaipenda tu ile hali maana hata upumuaji hubadilika mtu akinenepa sana, wanapumua kwa tabu sana.
 
Nyongeza

Psychologically Mara nyingi kunenepa huwa kunatokana na mtu kuwa huru/comfortable/amani moyoni (kisaikolojia ((no stresses)) huku kukiambatana na mazingira mazuri ya lishe.

Kwa wezetu wa bodaboda hizi zinaweza kuwa sababu

=>Kiwango cha elimu,
Bodaboda wengi wanalingana kielimu na upeo. Level hiyo inapelekea ku-relax/anaridhika akipata posho kidogo tu.

=>Majukumu/Watu wanaomtegemea,
Watu wengi wanaonenepa wanakua hawana majukumu, au wanamajukumu ila kipato chao nikikubwa kukidhi mahitaji kwa wakati pasipo kuathili uchumi wake.

=>Aina ya chakula wanachokula ukilinganisha na kazi wanayoifanya, kazi ya bodaboda haihitaji saana nguvu na changamoto zake ni kidogo sana ( ya kurelax). Hivyo chakula anachokula nikingi mno ukilinganisha nguvu anayotumia (input kubwa kuliko output), kwahiyo asilimia kubwa ya chakula alichokula kitatumika kujenga mwili badala ya kazalisha nguvumwili.
Siku moja nikiwa Kariakoo niliona jambo la kustaajabisha sana. Nilikuta kundi la boda boda wana miili mikubwa kushinda hata ukubwa wa TVS walikuwa nazo ndipo nikajiulizw why wana miili mikubwa kama majitu?

Na haya ndio majibu

Watu tuna kula sana kuliko tunavyo wekeza yes wengi ya bodaboda wanatoka familia tofauti na pindi wanapo pata pesa mara nyingi hula pasipo mpango akiona kuku kala akiona juice kanywa akiona dagaa kala akiona energ drink kanywa pipi kala akiona ndizi lete yani anakula kula tu na mwisho baadae anapata zege na kuku aina hii ya ulaji ni aina yakimasikin na inawatesa watu wengi sana duniani.
 
Wanaoongelewa hapa sio wale waliozaliwa nao ila wale ambao ni kwasababu ya kulakula.

Na hakuna anaeumia ila ni kushangazwa tu.
Asaa! Mkuuu!! Mie sijaelewa hapa labda unifahamishe kidogo! km amekutana nao ghafla kituoni!! anatumia Technology gani kujua huyu ni unene wa kuzaliwa na huyu unene wake ni matokeo ya kulakula!!
 
Kwamfano huyo niliemuongelea mimi ni kua namfahamu coz nimekua nae. Hiyo kukutana nae gafla kituoni sio rahisi kujua.
Mi naongela wale tunaowajua ama lah tulishawahi kuwaona huko nyuma wana miili midogo ila sasa hivi ni matukunyema.
 
Kuna watu wanazaliwa na mifupa minene kwa asili, wakiwa na kilo 6 kwenda mbele!! huyu ni mnene kwa asili!!!....but mazingira ya dhiki yaweza wa badirisha!! wakawa wembamba mno!

yamkini pia kuna wengine tangu kuzaliwa ni wakondefu tu kwa asili, kilo 2.5 kurudi chini! km... si unaona vitoto vya kagame!!! yaani vile vitoto ukikapuliza tu!! ni kuleee! km mdingi wao!!! siyo kwamba havili la hasha! ndo vilivyo!

ebu fikiria njiti!! vitoto vingine vinazaliwa vikiwa vigonjwa ila vinakulia sindano na madawa meengi!! hivi bana vina kuwaga na afya mgogoro hata ukape nini!! ukikalisha saaana utakaua katapata ugonjwa wa moyo au kafe kabisaa na Obesity!

vimili vyao haviwezi kubeba mzigo mkubwa! kwanza havili sana!!! body nutritious demand ni ndogo mno! vina kula kwa kudonoa donoa mno! huwa vinashangaa mabonge wanavo panga nguna? kanaweza kasinywe maji hata week! havitokagi jasho vile!!

Lkn mnene kwa asili hafi na Obesity kwa sababu mifupa yake ni minene kwa asili! na blood vessels zina weza ku-accomodate calibres! pia Meta bolic activies zake zina umudu huo mzigo!

Body mechanism demand Za watu wanene, ni kubwa mkuu kulingana naumri, mwembamba ukilazimisha kula km bonge lazima upate pressure soon uongo? au kisukari...

ni sawa na gari aina ya Vitz uipe mzigo wa Suzuki carry!! ...... au suzuki carry uipe mzigo wa gari kubwa Scania la mchanga kataondoka kweli? Marehemu Mkapa ule ni mwili wake! tangu, hata ale tikiti maji tu kwa siku!!

alipungua kidogo tu ajili ya ujana!! hapo kati! lkn hakuwa na pressure ajili ya ule mwili mkubwa!! Ariel sharon pia ivoivo!

Mzee wa Msoga kale ni ka mwili kake hata ale mbuzi mzima kila siku!! zaidi ataishia tu! kupata magonjwa! hujaona watu wakondefu jeshini wanashindwa kutembea kabisa kwenye uwanja wa mapambano km JKT??

lkn mabonge Yanapiga kwata la kufa mtu, yanavuka viunzi yale ni uta kaa chini mwenyewe!!! tena Yana mbio haYo heee! hapo sasa kumbuka ana Bunduki, sururu, ki-koleo, LMG full Magazine, Chakula na peki Mgongoni!! ila kula yake sasa ujipange!

Angalia hata kwenye kwata tu! palee JKT kambini ulipokuwa!! vimbau mbau ndo huanguka sana kunako kwata! vinapelekwa kivulini kupepewa lkn mibonge mweee!! yako fit karibu yote! yanaruka na siraha km zote!

Halafu ukisha yapaga msosi wa kutosha yanapiga kazi hayo weeee!! si unawaonaga kwa waleee!!! mafundi ujenzi wa Maghrofa yale yanapiga kazi usiku na mchana!
 
Mkuu bado sijaelewa wew unatetea nini hasa?? Kwamba mabonge wamezaliwa wakiwa hivyo ama??

Kati ya wanene 10 nnaowajua mimi basi ni mmoja tu ambae ndie aliezaliwa nao wengine wote ni kula kula hovyo, kubweteka na kutofanya mazoezi. Na wengi wao huo unene unawatesa. Sasa wewe unapoongelea sijui wako namna gani vipi mi nakua sikuelewi kwasababu wagonjwa wa moyo, kisukari, magonjwa ya miguu wengi huhusishwa na unene.
 
Yaani kwa kifupi mkuu. Unene ni mbaya acha kuutetea kwa kusema sijui wanaumudu au namna gani vipi. Tofautisha kati ya wenye miili ya mazoezi na hao mabonge tunaowaongelea hapa.

We unataja wanajeshi ambao wao daily ni mazoezi, hao miili yao ni mikubwa iliyojengeka kimazoezi na sio mabonge kama hawa bodaboda tunaowaongelea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom