Siku moja nikiwa Kariakoo niliona jambo la kustaajabisha sana. Nilikuta kundi la boda boda wana miili mikubwa kushinda hata ukubwa wa TVS walikuwa nazo ndipo nikajiulizw why wana miili mikubwa kama majitu?
Na haya ndio majibu
Watu tuna kula sana kuliko tunavyo wekeza yes wengi ya bodaboda wanatoka familia tofauti na pindi wanapo pata pesa mara nyingi hula pasipo mpango akiona kuku kala akiona juice kanywa akiona dagaa kala akiona energ drink kanywa pipi kala akiona ndizi lete yani anakula kula tu na mwisho baadae anapata zege na kuku aina hii ya ulaji ni aina yakimasikin na inawatesa watu wengi sana duniani.