Kuna cha kujifunza hapa, inakuwaje dereva bodaboda ana kitambi na uzito mkubwa?

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,219
Siku moja nikiwa Kariakoo niliona jambo la kustaajabisha sana. Nilikuta kundi la boda boda wana miili mikubwa kushinda hata ukubwa wa TVS walikuwa nazo ndipo nikajiulizw why wana miili mikubwa kama majitu?

Na haya ndio majibu

Watu tuna kula sana kuliko tunavyo wekeza yes wengi ya bodaboda wanatoka familia tofauti na pindi wanapo pata pesa mara nyingi hula pasipo mpango akiona kuku kala akiona juice kanywa akiona dagaa kala akiona energ drink kanywa pipi kala akiona ndizi lete yani anakula kula tu na mwisho baadae anapata zege na kuku aina hii ya ulaji ni aina yakimasikin na inawatesa watu wengi sana duniani.
 
Siku moja nikiwa kariakoo niliona jambo lakustaajabisha sana. Nilikuta kundi la boda boda wana miili mikubwa kushinda hata ukubwa wa TVS walikuwa nazo ndipo nikajiulizw why wana miili mikubwa kama majitu? Na haya ndiomajibu
Watu tuna kula sana kuliko tunavyo wekeza yes wengi ya bodaboda wanatoka familia tofauti na pindi wanapo pata pesa mara nyingi hula pasipo mpango akiona kuku kala akiona juice kanywa akiona dagaa kala akiona energ drink kanywa pipi kala akiona ndizi lete yani anakula kula tu na mwisho baadae anapata zege na kuku aina hii ya ulaji ni aina yakimasikin na inawatesa watu wengi sana dunian.
Kipi kifanyike ili kuwasidia?
 
IMG_3763.jpg

Wale wa Uzi bila picha
 
Ni vyema kama unakipato kizuri ukala kwa mpangilio kwa kuzingatia na kubalance vyakula vya kujenga mwili,kulinda na kuupa mwili nguvu , lakini wengi tunakomaa na vyakula vya wanga tu kuanzia asubuhi mpaka jioni, kunenepa na kuongezeka uzito uliopitiliza haifai nikukaribisha magonjwa kwa uzembe
 
Siku moja nikiwa Kariakoo niliona jambo lakustaajabisha sana. Nilikuta kundi la boda boda wana miili mikubwa kushinda hata ukubwa wa TVS walikuwa nazo ndipo nikajiulizw why wana miili mikubwa kama majitu?

Na haya ndio majibu

Watu tuna kula sana kuliko tunavyo wekeza yes wengi ya bodaboda wanatoka familia tofauti na pindi wanapo pata pesa mara nyingi hula pasipo mpango akiona kuku kala akiona juice kanywa akiona dagaa kala akiona energ drink kanywa pipi kala akiona ndizi lete yani anakula kula tu na mwisho baadae anapata zege na kuku aina hii ya ulaji ni aina yakimasikin na inawatesa watu wengi sana dunian.
Kwani Bill Lugano a.k.a Kiduku Lilo anasemaje kuhusu kula
 
Mambo yao waachie wenyewe...

Watu ambao hawana stress na wanauhakika na milo yote mitatu kwa siku ni waendesha Uber, Boda boda , Makondoka na madereva wao...
 
Inaweza ikawa sababu moja wapo lakini haitoshi kutoa conclusion, naweza ongeza sababu nyngn labda kwasababu miili ya haipat physical exercise kwa maana mda mwng anatumia chombo cha usafir akitembea kwa miguu ni umbal mdg
 
Nimecheka Sana Ila navojua asilimia kubwa ya boda boda huwa in uneducated level

Na kwakua ni uneducated wengi wao huwa hawana mawazo ya mbele I mean malengo endelevu kitu kinachowafanya waishi kwa kufikiria leo tu Yan maisha ya Sasa hivi

Hivyo kupelekea kula sanaaaa na kujiachia yn hawana stress za maisha kabisa

Kila kitu wanakula ,kula ndio faraja yao kuu na kazi wanayofanya inawafanya kuhisi kiu na njaa Mara kwa Mara kwahio soda kwao ndio suluhisho

Ulaji usiofata mpangilio maalum na ukosefu wa mawazo ya mbele huwafanya kunenepeana mno
 
Siku moja nikiwa Kariakoo niliona jambo la kustaajabisha sana. Nilikuta kundi la boda boda wana miili mikubwa kushinda hata ukubwa wa TVS walikuwa nazo ndipo nikajiulizw why wana miili mikubwa kama majitu?

Na haya ndio majibu

Watu tuna kula sana kuliko tunavyo wekeza yes wengi ya bodaboda wanatoka familia tofauti na pindi wanapo pata pesa mara nyingi hula pasipo mpango akiona kuku kala akiona juice kanywa akiona dagaa kala akiona energ drink kanywa pipi kala akiona ndizi lete yani anakula kula tu na mwisho baadae anapata zege na kuku aina hii ya ulaji ni aina yakimasikin na inawatesa watu wengi sana duniani.
Kwahiyo wewe jamaa ulishiriki kwenye mauaji ya Ben saanane, Walah Allah atakulipa adhabu Kali sana mbwa wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom