Kuna Bodi za kitaaluma kwa kozi za marketing?

BEST ONE BOY

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
309
250
Habari wana jf....

Habari za wakati huu naomba kujua kuwa
KWA watu wa uhasibu kuna bodi mahususi kwa ajiri Yao bodi ya NBAA ambayo ina mfumo wao wa kujiendesha ...

PIA kuna bodi au school of law kwa ajiri ya kitivo cha sheria wana utaratibu wao

PIA wahandishi na watu wa masuala ya utawala

Je kwa watu ambao tunapenda kusoma
Masuala ya marketing je hakuna bodi zetu

Mwenye kujua hili tafadhari kwa hapa Tanzania naoma information
 
Gamlemilwe

JF-Expert Member
May 26, 2013
292

Bodi ya watu wa utawala ni bodi ipi? Nijuze
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom