Kuna binti nilimuonesha nia ya kumtaka kimapenzi ila sikumtongoza, tangu hapo akiniona unanikimbia

Labda hakuvutiwa na wewe

Sawa, sasa ndio anikimbie, hlf cku alionikimbia ilikua ni giza La jioni, barabarani alikuwa anatembea na ndugu yake wa kiume, Na watu Kadhaa walikua wanapita hiyo road, hivyo nsingeweza mfanya chochote, Nlivomsalimia nduguye wa kiume yeye alivoniona huyooo akakimbia, Tena nilikua nlishaghairi kumtongoza sababu alinitangaza kwa rafiki zake wa kike na ndugu yake wa kiume, nkaona nkiendelea kumfatilia msala wa jela utaniita..

Alivonikimbia Nikaona nilipotea njia ku-flirt na yule binti Lenie
 
Sikukatongoza directly, kwahiyo Nina uwezo wa kubadilisha gia angani saile thinker
By the way inaonyesha ni kiumbe asiye smart kichwani kama sio utoto mwingi hivyo ikiwa wewe ni mwanaume na sio mvulana tupilia mbali hiyo loss tena usigeuke nyuma, hakufai hata kula kimasihara.



Amani iwe nawe.
 
Back
Top Bottom