Kuna binti alinipa namba ya simu ila naona hatoi ushirikiano wa mawasiliano

Kuwa na subila yaan utanataka akupe namba leo muanze kuchat Kama mme kutana kama miez miwil iliyopita , yawezekana swaga zako bado hajazilewa nenda nae taratibu,
Mm mwnyw jumamos imetokea situation kama yako baadae nataka nmtongoze akatae nifute namba
 
Huna maneno matam yenye ushawishi
Chart zako zipo hivi
Wewe; mambo vp
Yeye : poa
Wewe; unafanya nini saiv?
Yeye; nimelala
Wewe; niambie
Yeye ;!!!!!!?????
Wewe; mbona kimy
Yeye ; amna
Wewe: umelala na nani

Sasa kwa mtindo huo ndgu yangu maswali kibao kama anaomba kazi kwako nani atataka kuchart na mtu wa hivi.
aaaaaaah sipo ivo kaka wao ni watoto wa form one mm ni matured.
 
Tengeneza bond kwanza, utumie nini kutengeneza hiyo bond utajua wewe. Mtu yeyote hata mwanaume hawezi kuonesha ushirikiano sehemu ambayo haina manufaa kwake. Mpe sababu za kumfanya akamate simu yake kukutafuta.
nGoja nitengeneze
 
Mi iliwahi nitokea huyu mtoto hakunicheki na namba akanipa akawa hana ushirikiano kama huyu wako nikasema dawa nikufuta namba, siku nikakutana naye mtaani daah mtoto ni anaita hilo wezere na rangi yake ni chocolate colour kwanza alipita mbali nikiwa nami nimempotezea akiwa anapita.

Hapo mi nilikuwa nina nunua mboga mahali kwa muuza duka la nyama, sasa mimi na huyo muuza duka tumezoeana hapo kitaa na mimi ni mteja wake hapo dukani alisimama mama mmoja hivi naye alikuwa ana nunua nyama, mi nikajiropokea baada ya demu kupita, nikasema yaani hili toto linaringia matako linajiona sana limefika wakati hayo ni mavi tu 😅😅 Amini usiamini yule muuza duka akanitazama kwa kuhamaki nikashutuka paaap😝😝😝 kumbe yule aliyekuwa shop ni mama mzazi wa mtoto lakini hakuwa mashallah kama mtoto.

Wacha mama aanze wewe kijana kweli we ndiyo umeamua kunitukania mtoto wangu yaani tena mbele yangu, mama alisononeka sana huku akisema ndiyo maana mabinti hawaolewi wanaogopa dharau zenu sijui imepanda imeshuka daaah.....

Muuza duka akanihakikisha yule ndiyo mzaa chema baada ya mama kuondoka pale na hasira nyingi.

mi nilibaki naduwaaa kama sio kweli yule sio mama yake, lakini nilifutaga namba ya binti mwanzo kabisa nilivoona hanipi ushirikiano nikapiga chini.

so hata nilivojiropokea pale ni lile tako lilivo pita pale kwa madaha huku nikijua kaniona fala tu mi nikaona isiwe kesi takorooo zipo nyingi tu kwani Shilingi ngapi?
 
Juzi bana katika harakati zangu za kutafuta mchele nikabahatika kukutana na mtoto mzuri kwenye daladala, stori za hapa na pale mara paaaap!

Nikaomba namba mtoto akanipa lakini naona ayupo ACTIVE shida itakuwa nini apo au anataka kubembelezwa?
Nenda kamchukulie Diffender
 
Juzi bana katika harakati zangu za kutafuta mchele nikabahatika kukutana na mtoto mzuri kwenye daladala, stori za hapa na pale mara paaaap!

Nikaomba namba mtoto akanipa lakini naona ayupo ACTIVE shida itakuwa nini apo au anataka kubembelezwa?

pole ulitaka uapply umasihara ule?
 
Back
Top Bottom