Kuna bifu gani kati ya makonda na ipp media

Super Don

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
1,978
1,781
Leo katika taarifa ya habari usiku saa mbili katika mkutano ulikuwa unafanyika kwenye ukumbi wa mwalimu julius nyerere wametoa habari za viongozi wote isipokuwa makonda
 
kwa mada yenyewe nani aliongea POINTS. kUTANGAZA MALUMBANO NA MIPASHO HAIJENGI NCHI, LAZIMA WACHUJE
 
Ukitaka kuwavusha watu ng'ambo ya pili usishauriane nao njia ya kupita
Usilete mbembwe kwenye utawala huu,na mimi umri wangu unaruhusu kufanya haya,
Sasa wewe jifanye kusema mimi kijana MDOGO,ndo hapo utajua shimoni ni wapi,.
Kila MTU anatafsiri yake kwendana na imani yake na mimi tafsiri yangu ni hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe.
Kuna waliojiandaa juu ya matusi mimi kwa upande yangu hayanibabaishi.
Nikijiridhisha wewe ni hatari kwenye mkoa wangu,unaweza ukaondoka na kuacha ndala tu.
Hawa nitakao wataja hapa leo kuna joto kidogo.
Wameusishwa nyanja mbalimbali kuanzia utawala WA Mwinyi mpaka sasa.
Ni heri niwe mkuu WA mkoa siku moja,nifike mbinguni niwe na majibu ya maswali atakayo niuliza Mungu.
Namkabidhi kamisha majina haya ashughulike nayo,leo tupo ya tatu na tunakwenda mpaka ya saba.
Viongozi WA Dini pia sintaona haya kuwashughulikia.
Namkumbusha ndungai pia kuwapima wabunge wanapoingia bungeni.
HAYA NI MANENO YA MAKONDA KTK KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA.
.
Kuripoti habari kama hii katika media ni kufanya uchochezi.
 
Vipi wale waliorusha live watakuwa wamechochea?
 
Back
Top Bottom