Kuna Bendi unafahamu wanapofanyia mazoezi?

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Habari zenu wapendwa,

Naomba kama kuna Bendi unafahamu wanaponyia mazoezi unielekeze tafadhali. Nahitaji kuwatembelea kwaajili ya uwezekano wa kuwa nao pamoja katika Muziki, mie ni mwanamuziki; nacheza vyombo na kuimba. Na kwa hapa Dar bado sijawa mwenyeji kufahamu Bendi hasa zinapofanyia mazoezi. Ntashukuru sana ukinipa ramani.

Board Member.
 
Akudo nenda msasan beach, twanga nenda TTC chang'ombe, FM Academia nenda kijiji cha makumbusho
 
Akudo nenda msasan beach, twanga nenda TTC chang'ombe, FM Academia nenda kijiji cha makumbusho
Asante sana mkuu. Kama unaweza kufafanua zaidi hizo location itakuwa poa. Mfano; kijiji cha makumbusho, eneo gani?
 
Kwa nijuavyo twanga pepeta wao huwa wanafanyia mazoez pale nyuma ya mango garden kinondoni vijana jiran na kinyaiya pub,unaweza fika hapo kinyaiya pub ukaonyeshwa nyumba wanayofanyia mazoez
 
Kijiji cha makumbusho ni Pale millenium tower makumbusho bagamoyo road njia ya kwenda posta

Muelekeze Vizuri Mkuu ASIJE KUKOSEA NA KUJIKUTA ANAINGIA KWA WENYE NCHI YAO HALAFU AKAJUTA HATA KWANINI AMEZALIWA NA AMEKUJA JIJINI DAR HUKU AKIENDA KUWASIMULIA NDUGU ZAKE HUKO KIJIJINI KWAKE KYAKA NKUNDE AU IKUPILIPA NKOBA. Nakusihi Tena Mpe Maelekezo Vizuri ASIJE KUWATAFUTIA WATU DHAMBI ZA LAZIMA KWANI SASA HIVI HAKUNA MZAHA HAPO BALI NI KAZI TU!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom