Kuna baadhi ya wamabongi flava wanajitahidi hebu check hizi lyrics

Hao ndio wale wale self loathing blacks wanaotaka kujitoa kwenye blackness.

The only black Jews I know are the Falashas, and they are not "weusi tii" wametyoka Ethiopia huko.

The Jewish religion -if you are talking about this in religious context- wants nothing to do with blacks, just try to go to a Jewish Synagogue and see.

Kijana at best anaweza kuwa anahitaji maelekezo kuhusu lines gani aondoe, na lines gani aongeze.

He is not the next bets thing he is trouted out to be.First of all he invests too much in religiosity and the scriptures while religiosity and the scriptures are nothing buit the oppressors tool.How can you fight the oppressor by using his very own tools of oppression?
'
'
Hii name calling na unfounded accusations ya watu usiowajua inakuexpose as to how ignorant you are kwenye suala zima la black jews.

Just a question for you, hivi falasha akioa say a south sudanese, msukuma, or mzaramo, mtoto anayezaliwa ni jew sio jew?
 
Unaonaje ukitoa wimbo wako tofauti na huu, utakakidhi what you think?????? Si lazima uuimbe unaweza tu kuandika mashairi ukamuomba huyu dogo akuimbie.
 
Angalia sasa nani anaji expose.

Msingi mzima wa swali lako una assume kwamba kuwa Jewish kunahusikana na nasaba.

Kuwa Jewish si jambo la nasaba, wewe au mimi ambao ni waafrika weusi tii tusio na tone la ufalasha
, tunaweza kujiingiza tukawa Jewish, wakati mtoto aliyezaliwa na Mayahudi Tel-Aviv, akawa Mkristo, asiwe M-Jew.

Mimi siwezi kufagilia Mayahudi, kuna mtu mweusi kashushwa kwenye basi majuzi Tel-Aviv, kisa yeye mweusi. Kina Martin Luther King Jr. walipigana in the 50's and 60's kuondoa upuuzi kama huu. Huko Israeli hawa Jews mnaowapapatikia hawawataki.

Ndiyo hao Mayahudi tunaotaka kuwapapatikia.

Ushaona Mayahudi wanapapatikia weusi?

Ushaona Mayahudi wanasoma kitabu cha kidini cha Afrika?

Huko Nigeria waislam na wakristo wa kiafrika wanauana kila siku, mpaka Archbishop mmoja akauliza, hivi mbona hawa African traditional animists hawauani kama sisi? Tunaouana ni sisi wakristo na waislamu tu? Ina maana kuna kitu wametuzidi hawa with all our talk about traditional African religiuous being backwards.

Huwezi kufront mabadiliko wakati hujui msingi wa mabadiliko.
 
Unaonaje ukitoa wimbo wako tofauti na huu, utakakidhi what you think?????? Si lazima uuimbe unaweza tu kuandika mashairi ukamuomba huyu dogo akuimbie.

Kama unaweza kuuliza swali hili wewe si mfuatiliaji wa mambo hapa JF.

In any case I don't intend to be a ghostwriter.
 
huyu dogo ni nomaaaaa, ningeweza kumchangia akafanya onyesho moja viwanja vya jangwani kwa kuimba wimboo huu mmoja tu harafu watu wanatawanyika.
 
Back
Top Bottom