Kuna Baadhi ya Taswira Hugeuka Watu Usiku?

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Niliwahi kuambiwa kuna maeneo ukikutana na mtu usiku muulize 'usiku' akikujibu mchana basi ujue kuna amani hapo ila akikujibu 'usiku' ..............Chukua chako mapema

kuna siku nikiwa Bagamoyo niliuliza nikaona kimya .....................

je ni kwamba Kuna visiki/taswira na hasa visiki usiku huwa vinageuka mithili ya watu ama ni uoga tu?

hali hii imeshawahi kukutokea?
 
Back
Top Bottom