Kuna baadhi ya nyuzi ukizisoma humu unakata tamaa kabisa

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
3,601
4,086
Wakuu,

Kuna baadhi ya nyuzi ukizisoma mwanzo-mwisho humu, unajiona ni mtu mwenye tija ndogo sana hapa ulimwenguni.

Unajiona ni kama mzururaji tu anayetangatanga bila dira wala mwelekeo chini ya jua.

Unajiona ni kiumbe chenye chembe ndogo sana ya tumaini la kufanikiwa chochote.

Uzi huu wa mijengo inayouzwa na bei zake, umenitafakarisha sana- wakati bado nakimbizana na kodi za Elfu 30 huku Uswahilini.

Haya maisha haya ...


 
Hata baresa & mo wakisoma nyuzi iliyoandikwa na BILLGATE wanajiona wazululaji & wanatangatanga hapa duniani


Relax bro, maisha ndio haya haya.
 
Back
Top Bottom