Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,621
- 27,567
Huku wazee wanalipwa 20000
Bro kama huna uhakika na kitu usijifanye unajua.
Uliona wapi mhandisi anaanza na laki 6??
Labda take home maana kuna wengine wanapata take home hat laki 5Bro kama huna uhakika na kitu usijifanye unajua.
Uliona wapi mhandisi anaanza na laki 6??
jibu hoja.. Tgse ni shiling ngapi na usd 300 ni shiling ngapi?
usifikiri serikalini graduates wa uhandishi anaanza na salary zaidi ya usd 300? mishahara ya makampuni binafsi ndio mikubwa.. mj naongelea serikalini.. graduates katoka zake udsm na degree yake ya uhandisi... anaajiriwa wizara yeyote? ataanza na bei gani?
nani kakudanganya usd 300 ni sawa na laki 6?
Ok usd 300= 2250*300=675,000/=
Check hiyo mishahara kwa 2018 June. Otherwise utakuwa unaongelea ranks za 2014 kushuka chini
Sa we umeongea take home au mshahara? Take home zinatofautiana kulingana na makato ya mtu, Kuna watu hawana mkopo wengine wanao so Hawa hawawez lingana, anyway check hiyo take om hapa chiniweka take home hapo.
maana hujui hela za wazee hazikatwi kodi wala makato yoyote... halafu linganisha na take home za graduates kama zinafika usd 300
Sa we umeongea take home au mshahara? Take home zinatofautiana kulingana na makato ya mtu, Kuna watu hawana mkopo wengine wanao so Hawa hawawez lingana, anyway check hiyo take om hapa chini
Elewa basi bro sikutaka niweke makato coz yanatofautiana ila nimekuwekea mfano tu wa ngazi hio, af kwa sasa salary yao iko juu kidogo, labda tusubiri aje mtu aliyeajiriwa recently atasemaengineer anakatwa CWT?? vp kuhusu nhif?? na usd 1 kwa rate ya sasa sio 2250
Weka Source ya habari yakoView attachment 921852
Turkish President Tayeb Erdogan announced yesterday all turkish senior citizens aged 65 or more: free House, free medical insurance, $300 dollars monthly stipend for life time and one free Hajj. This is all from the Turkish Government.
Kwani zwazwa ni tusi? Zwazwa ni jinsi vile ulivyo unavyoonekana kupitia matendo na mawazo yako. Zwazwa is nothing that you are not.Uki comment bila kumtukana mtu hujisikii raha.....pole kwa malezi uliyokulia
Hata arudi yesu mkuu Haiwezekani, utawala wenyewe wa visasi...atanikoma flaniKwa hapa TZ siasa nyingi sijui kama itawezekana