Kuna baadhi ya nchi maisha ya wazee yamepangiliwa vizuri sana...tunaweza kuiga mfano huo

Bro kama huna uhakika na kitu usijifanye unajua.
Uliona wapi mhandisi anaanza na laki 6??

jibu hoja.. Tgse ni shiling ngapi na usd 300 ni shiling ngapi?

usifikiri serikalini graduates wa uhandishi anaanza na salary zaidi ya usd 300? mishahara ya makampuni binafsi ndio mikubwa.. mj naongelea serikalini.. graduates katoka zake udsm na degree yake ya uhandisi... anaajiriwa wizara yeyote? ataanza na bei gani?

nani kakudanganya usd 300 ni sawa na laki 6?
 
Ok usd 300= 2250*300=675,000/=
Check hiyo mishahara kwa 2018 June. Otherwise utakuwa unaongelea ranks za 2014 kushuka chini
 
Attachments

  • Screenshot_20181106-131831.png
    Screenshot_20181106-131831.png
    75.1 KB · Views: 24
  • Screenshot_20181106-131837.png
    Screenshot_20181106-131837.png
    56.2 KB · Views: 23
Ok usd 300= 2250*300=675,000/=
Check hiyo mishahara kwa 2018 June. Otherwise utakuwa unaongelea ranks za 2014 kushuka chini

weka take home hapo.

maana hujui hela za wazee hazikatwi kodi wala makato yoyote... halafu linganisha na take home za graduates kama zinafika usd 300
 
weka take home hapo.

maana hujui hela za wazee hazikatwi kodi wala makato yoyote... halafu linganisha na take home za graduates kama zinafika usd 300
Sa we umeongea take home au mshahara? Take home zinatofautiana kulingana na makato ya mtu, Kuna watu hawana mkopo wengine wanao so Hawa hawawez lingana, anyway check hiyo take om hapa chini
 
Attachments

  • Screenshot_20181106-131837~01.png
    Screenshot_20181106-131837~01.png
    9.6 KB · Views: 23
Sa we umeongea take home au mshahara? Take home zinatofautiana kulingana na makato ya mtu, Kuna watu hawana mkopo wengine wanao so Hawa hawawez lingana, anyway check hiyo take om hapa chini

engineer anakatwa CWT?? vp kuhusu nhif?? na usd 1 kwa rate ya sasa sio 2250
 
Attachments

  • IMG_20181106_141022_edit.png
    IMG_20181106_141022_edit.png
    29.4 KB · Views: 23
engineer anakatwa CWT?? vp kuhusu nhif?? na usd 1 kwa rate ya sasa sio 2250
Elewa basi bro sikutaka niweke makato coz yanatofautiana ila nimekuwekea mfano tu wa ngazi hio, af kwa sasa salary yao iko juu kidogo, labda tusubiri aje mtu aliyeajiriwa recently atasema
 
Uki comment bila kumtukana mtu hujisikii raha.....pole kwa malezi uliyokulia
Kwani zwazwa ni tusi? Zwazwa ni jinsi vile ulivyo unavyoonekana kupitia matendo na mawazo yako. Zwazwa is nothing that you are not.
 
Back
Top Bottom