kameranzuriulinzimzuri
Member
- Jan 14, 2019
- 64
- 61
Siasa
Wanadanganya ili wapate kura wakati wanajua haya mambo hayawezekani kuna watu wapo madarakani wamesahau walichowaambia wananchi+ wanasiasa wa Jamaika lakini sio wa hapa kwetu kabisa sijawahi ona wanasema uongo akiamama
Uanasheria
Mtu anaua/amefanya dhambi kubwa halafu unamtetea ili ulipwe + Wanasheria wa Marekani lakini wa hapa kwetu Kweli kabisa wanatetea vizuri wanyonge
Polisi
Wakikuona kituoni wanaona dili limekuja haijalishi umepeleka mashitaka au umeshitakiwa lakini ni Polisi wa Ulaya wa hapa kwetu wapo vizuri sana wanasimama pamoja wananchi vizuri sana ila Polisi ya Ng`ambo Big no
Kuna kazi duniani ukifanye lazima uenda Mbinguni
i.Udaktari
ii.Uchungaji/Ushekhe
iii.Ualimu
Zipo baadhi ya kazi ni PROBABILITY unaweza kwenda Mbinguni au JEHANAMU
i.Wafanyabiashara
ii.Wakulima
iii.Madreva
iv.Jeshini nk
Mimi kama Mzazi ntamshauli Mwanangu awe Mchungaji tu!