Kuna asilimia kubwa Rais Magufuli atashinda vita dhidi ya Corona

mbati nenga

JF-Expert Member
Feb 18, 2017
265
341
Kutokana na sakata hili la mlipuko wa ugonjwa huu wa korona na namna nchi zinavyojitoa kupambana nao rais wa tz ataibuka mshindi sio tu Kwasabab amepambana au kutumia akili sana ila ni Kwasabab tuu ameficha takwimu na ujinga wa watanzania ..

Kimsingi ugonjwa huu umegawanyika katika makundi mawili, la kwanza wanaamini uhai wa Mtu mmoja ni muhimu kuliko pesa na la pili pesa ni muhimu kuliko uhai..

Kiukweli janga hili inahitaj roho ya kimungu sana ili uweze kukabiliana nalo na kulipa uzito kwamaana idadi ya wanaopoteza maisha ni ndogo mno kulinganisha na idadi ya watu katika eneo husika hvyo ni ngumu mno kuona madhara yake hvyo kundi lile la pesa ni muhimu kuliko uhai litapata ushindi kupitia hoja hii..

Uhai wa Mtu muhimu kuliko pesa.. Hili ndo kundi linaloteseka kwasasa ambapo ushindi wake unategemea takwimu tuu kwamaana sio rahis kujua ukubwa Au madhara ya kauli za rais bila takwimu.. Hapo ndipo CCM na watu wake wanaangua kicheko tuu..

Kama unataka amani ya moyo wako jitulize kwenye vita hii maghufuli ndo mshindi
 
Familia nyingi zimepoteza wapendwa wao,
hongera Magufuli kwa kushindwa vita
 
Dada yake keshakufa huko nyie endeleeni kumshangilia huku covid-19 imemuelekeza kibla mpendwa wenu.
 
Hivi wewe kwa akili yako kiduchu unavijua vyanzo vya taarifa vya mkuu wa nchi?,unafikiri hiyo taasisi ni sawa na Sacco's ya ufipa?
 
Vita gani ameshinda wakati watu weusi hawafi kirahisi na corona..watu weusi wanaokufa sana Marekani ni kwa ajili ya kukosa vitamin D muda mrefu wanapigwa na baridi hakuna jua lakini sisi jua linatupiga utosini mpaka tunashika adabu zetu..
 
Kutokana na sakata hili la mlipuko wa ugonjwa huu wa korona na namna nchi zinavyojitoa kupambana nao rais wa tz ataibuka mshindi sio tu Kwasabab amepambana au kutumia akili sana ila ni Kwasabab tuu ameficha takwimu na ujinga wa watanzania ..

Kimsingi ugonjwa huu umegawanyika katika makundi mawili, la kwanza wanaamini uhai wa Mtu mmoja ni muhimu kuliko pesa na la pili pesa ni muhimu kuliko uhai..

Kiukweli janga hili inahitaj roho ya kimungu sana ili uweze kukabiliana nalo na kulipa uzito kwamaana idadi ya wanaopoteza maisha ni ndogo mno kulinganisha na idadi ya watu katika eneo husika hvyo ni ngumu mno kuona madhara yake hvyo kundi lile la pesa ni muhimu kuliko uhai litapata ushindi kupitia hoja hii..

Uhai wa Mtu muhimu kuliko pesa.. Hili ndo kundi linaloteseka kwasasa ambapo ushindi wake unategemea takwimu tuu kwamaana sio rahis kujua ukubwa Au madhara ya kauli za rais bila takwimu.. Hapo ndipo CCM na watu wake wanaangua kicheko tuu..

Kama unataka amani ya moyo wako jitulize kwenye vita hii maghufuli ndo mshindi

Hii sio vita ya Magufuli ni vita ya kila mtu na familia yake. Usisubiri serikali kukusaidia kwenye gojwa ambalo mpaka sasa hakuna dawa. Pambana kivyako na serikali kutokufunga ni kwamba hakuna mtu anayejua mpaka sasa mtaani ni wangapi wamebeba ugojwa.
 
Back
Top Bottom