Kuna App ya Radio Station ambayo haitumii Internet?

Ni impossible, bila internet basi simu inatakiwa iwe na uwezo wa kunasa radio waves, meaning iwe imefungwa radio antena, itabidi uwe na mchina tu, zile low quality. Ukitafuta app ikasema ina feature hiyo jua umeliwa, ni science tu.
Sawa mkuu Nina Tecno K7 App ya Radio yake haifanyi kazi sijui shida nini.
Screenshot_20200526-115750.jpg
 
Hivi kwanini hizi flagship hazina redio??..mfano s8,s9,s10,s20 n.k

Huku hatuna hata internet ya uhakika, kwanini wasiweke redio??

Hizo simu target yao wazungu ni zitanunuliwa na matajiri na wengi wao hawata sikiliza redio
Simu nyingi flagship zitakazoendelea kuja hazitokua na redio
Hii kitu waliianza iphone watu wakaongea sana

Yani kukuta redio humo ni sawa na kuona tangazo la rambogin kwenye tv yani huwezi kuliona kamweee

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hizo simu target yao wazungu ni zitanunuliwa na matajiri na wengi wao hawata sikiliza redio
Simu nyingi flagship zitakazoendelea kuja hazitokua na redio
Hii kitu waliianza iphone watu wakaongea sana...
Samsung galaxy s10 yenye exynos ambayo iliuzwa marekani ilikuwa na fm tuner..lakini za rest of the world zilikuwa hazina...why?
 
Samsung galaxy s10 yenye exynos ambayo iliuzwa marekani ilikuwa na fm tuner..lakini za rest of the world zilikuwa hazina...why?

Exynos chipset ni kama baso hipo kwenye majaribio coz bado hauwezi kuringanisha na snapdragon na sehem nyingi wanalazimisha watu wanunue cm zene exynos
Huwenda wamefanya hivyo kuvutia wateja

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni impossible, bila internet basi simu inatakiwa iwe na uwezo wa kunasa radio waves, meaning iwe imefungwa radio antena, itabidi uwe na mchina tu, zile low quality. Ukitafuta app ikasema ina feature hiyo jua umeliwa, ni science tu.
Samsung na LG zangu zote za miaka hii ya karibuni, flagship phones, zina FM receiver.

Unachotakiwa ni kuweka headphones tu, ambazo zina act kama antenna.

Hapo hata kama huna internet, unasikiliza FM radio, kupitia FM receiver.

Sijui Bongo, lakini US this is possible.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Back
Top Bottom