Kuna anayeifahamu Afrika Yetu Nchi baada ya Nchi, (AFRIKA FOR SALE) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna anayeifahamu Afrika Yetu Nchi baada ya Nchi, (AFRIKA FOR SALE)

Discussion in 'International Forum' started by Thanda, Apr 15, 2012.

 1. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wanajamii , nani anafahamu vizuri historia ya CONGO LIBREVILLE NA CONGO KINSHASA (DRC)?

  Congo DRC Zamani ZAIRE ndiyo nchi yenye makabila mengi barani Afrika, Makabila 355 na kabila kubwa ni la baCongo.

  Marais wote waliowahi kuitawala nchi hiyo wana majina yanayofanana kwa angalau asilimia 87 huku kukiwa na tofauti ndogo sana hivyo husadikiwa kuwa ni ndugu.

  Ukimuondoa mwanaharakati Patrice Lumumba aliyeuwawa:


  Kulikuwa na Joseph Desiree Kasavubu, Joseph Desiree Mobutu(Aliyejipa majina lukuki-Mobutu Sese Seko Kuku wa Zabanga), Joseph Desiree Kabila Snr, Joseph Desiree Kabila Jr)
   
 2. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  .......itaendelea
   
Loading...