Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Wengi waliosoma kozi hiyo nawaona wanafanya kozi za muda mfupi za osha na kuwa health and safety consultant /health and safety officers kumbuka ili uweze kujiajiri unatakiwa uwe na uzoefu au uwezo kwenye nyanja fulani.unaweza kuanza kwa kuajiriwa huku ukijifunza mambo mbalimbali na baadae ukaendelea ba wazo lako la kujiajiri.
 
Mwambie aende NEMC wanatoa training za certification za EIA ambapo anaweza kufanya kazi km private evaluator wa mazingira
kozi ya environmental sciences and management inayotoleawa ardhi kwa level ya degree yupo ndugu amemaliza ila anatafuta mwanga wa kujiajiri mwenyewe. kuanza kujiajiri kwa mtaji mdogo. cpa hajapitia (nemc) naombeni msaada
 
baada ya hap utaingia sehem ya user only ambapo ukiingia utakut vitangazo kgd af juu kuna sehem ya kuweka number ambaz utakua ushaziona juu ya hyo sehem.
ukiingiz hizo number itaonekana kam umesoma hayo matangaz xo ndo hela zinapoingia kwenye hyo account uliyoifungua.
Kiurahis tu
 
shukurani za dhati wadau pendwa mliotoa ushauri na hakika nimepata kitu kutoka kwenu asanteni
 
Halafu kitu kingine kinachoweza kuwa ni changamoto wakati mwingine lakini, ni namna ya kuhamisha mazingira ya mwandishi wa kitabu kutoka kwao na kuyaleta katika mazingira ya kiafrika ama kitanzania ili mawazo hayo yaweze kuendena na wewe
Hiyo ndio maana halisi ya usomi ambayo wengi hawajaijua basi wameishia kututambia na marundo ya vyeti na kiingereza
 
Doooh kwenye ajira, watu hawasemi ukweli wote -ahahahahaaaaa.Leo kuna jamaa ameniambia amestaafu kapewa TZS 56Milion na kila mwezi atakuwa akipewa laki 9 mpaka kufa. hata kama kanidanganya viwango hilo la huo uhakika nadhani ndio unawafanya wengi wetu waseme kama nina sehemu siiachii kazi mpka nistaafu, kwenye biashara ukipotea ndio basi ukipata safi sana, sasa kwa wakati huu ambao kila mtu analia njaa wewe una uhakika wa 30,000 kila siku? inabidi ujifikirie kuacha kazi maana nasikia mfano biashara ya taxi million 12, zinaleta 15,000 kwa siku na ugomvi na driver na kuugua kwa mwenye gari-ahahahaaaa.
 
Huyu jamaa atakuwa nafasi yake ni kubwa serikalini sio mtu wa chinichini asingepokea hiyo hela kama mstaafu kila mwezi
 
Huyu jamaa atakuwa nafasi yake ni kubwa serikalini sio mtu wa chinichini asingepokea hiyo hela kama mstaafu kila mwezi
Kima cha chini huwa wanapata kiasi gani kwa wastani kama kiinua mgongo baada ya kustaafu na kila mwezi anaweza kupata kiasi gani kwa mwezi, hii taarifa kuna sehemu ya kuipata iliyo wazi au tovuti.
 
kwamba haiwezekani masaa 8 kazini the rest kufanya yangu?
Dah sidiss kujiajiri, ila naona you are exaggerating asee kama vile ukijiajiri ndo umetoka mazima.
Anyway yote sawa kila laheri
Ur right
Hakuna kitu kigumu kama ujasiriamali
 
Mkuu nakushukuru sana kwa kuanzisha uzi huu maalum kwa sisi tunaotaka kuacha kazi, hasa tuliopo kwenye sekta binafsi. Huku kuna manyanyaso ya kutosha...yaani ni ubabe na utemi kwa kwenda mbele. Mtu hata ukifiwa au ukawa na kikao cha harusi au familia, hupati ruhusa ya kutoka kazini.

Hapa kazini kwangu, kuna uhakika wa nyongeza ya mshahara mnano mwezi wa 8. Nasubiri mshahara upande niende benki nichukue mkopo hata wa milioni 50 niondoke hapa UTUMWANI nikajiajiri huko uraiani. Hiki kifungo cha miaka 11 kinanitosha kabisa. Kazi gani haina weekendi wala sikukuu? Kwa ujumla naichukua sana hii kazi ya shift.

Nikishachukua mkopo wangu sitajali kama nina uzoefu wa biashara au la. Nitakachofanya nitajipa takribani muda wa wiki moja nitajifungia ndani nitafakari biashara yoyote inayoweza kuniingizia kipato cha walau Tsh 20,000 kwa siku. Hata kama ni kukaanga chipsi au mihogo nitafanya ilmradi niondoke huku utumwani mwa makaburu. Kabla ya kuanza biashara yangu hiyo nitafanya business survey, ambapo nitatembea mitaani kuangalia biashara ambazo zinalipa kwa wakati huu. Hata ikibidi kujifanya kibarua wa mtu ambaye nataka kusoma biashara yake nitafanya hivyo ilmradi nipate conclusion ya ufasaha kabla sijaingia kwenye biashara husika.

Tena utafiti ngoja niuanzie hapa kwa kuwauliza wajasiriamali wenzangu (N.B: tayari najiona kama mjasiriamali mtarajiwa). Je, ndugu zangu mlionitangulia kwenye ujasiriamali, ni biashara gani ambayo nikifanya kipindi hiki cha 'vyuma kukaza' haitaniangusha? Jamani tusiwe wachoyo wa kushirikishana taarifa kwani sisi sote adui yetu ni mmoja: UMASIKINI.

Nawasilisha
Umepanga kurejesha vipi huo mkopo ilhali huna mshahara na rejesho la kwanza ni mwezi huo huo wanaokupa mkopo?.
 
Doooh kwenye ajira, watu hawasemi ukweli wote -ahahahahaaaaa.Leo kuna jamaa ameniambia amestaafu kapewa TZS 56Milion na kila mwezi atakuwa akipewa laki 9 mpaka kufa. hata kama kanidanganya viwango hilo la huo uhakika nadhani ndio unawafanya wengi wetu waseme kama nina sehemu siiachii kazi mpka nistaafu, kwenye biashara ukipotea ndio basi ukipata safi sana, sasa kwa wakati huu ambao kila mtu analia njaa wewe una uhakika wa 30,000 kila siku? inabidi ujifikirie kuacha kazi maana nasikia mfano biashara ya taxi million 12, zinaleta 15,000 kwa siku na ugomvi na driver na kuugua kwa mwenye gari-ahahahaaaa.

Akili ndogo ni shiida sana aisee.

Tu-assume huyo mzee ana miaka 60 sasa unadhani 10 years to come hio laki 9 kwa mwezi itakua ni sh. Ngapi?

Kamuulize mnadhimu mkuu wa kwanza wa jeshi ambae alishiriki kuzuia mapinduzi ya Nyerere miaka hio aliyeitwa kanali Ameen Kashimir analipwa mafao ya sh. Ngapi kwa mwezi?

Analipwa elfu ishirini na mbili kwa mwezi yaani(Tsh.22,000),mkuu wa majeshi mstaafu Jenerali Mrisho Sarakikya mafao anayopata ni Tsh. 50,000 yaani elfu hamsini kwa kwa mwezi.(hii ni kwa mujibu wa Gazeti la Nipashe mwaka 2015 alipojiwa huyo kanali Kashmiri).

Point yangu hapa ni nini?Angalia Time value of money unadhani kipindi hicho wanastaafu hio Elfu 22 ya Kanali na hio Elfu 50 ya Mkuu Sarakikya ilikua ni ndogo?Bila shaka ilikua ni kubwa lkn Time value of money imefanya yake.

Ukitaka source ya hio habari utaniambia nikuambatanishie hapa mkuu.
 
Hakuna shida kabisa
I'm against the mindset that being employed is something to be looked down
Of course yes, being employed is something to be looked down, bcz, through employment you can only survive and will never drive(attain a determined life)!
 
Habari zenu wakuu..
Poleni na majukumu ya kupambana kulisaka tonge ,kijana wenu nakuja mbele zenu Kama kuomba ushauri na pia Kama kutafuta wateja, maana nishapata experience kiasi chake...
Issue ni kwamba baada ya kushindwa kuendelea na chuo nilichoamua Sasa nikutaka kufungua ofisi ambayo nitakua nawatafutia watu wa mikoani /dar bidhaa ambazo watakua wanaziitaji na kuzi transport mpaka itakapo mfikia mteja, na kwa wale wa dar mizigo nitakua naleta mwenyewe utakua tu unaniambia unaitaji kitu gani nimutafutie, mnaonaje wazo langu wakuu mambo mtaani magumu Sana nisaidieni katika hili....
Samahani kwa mwandiko wangu mbovu
 
Back
Top Bottom