kuna anayefahamu au mwenye idea ya kujiajiri na hii kozi

M

Mr increase

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Messages
233
Points
250
M

Mr increase

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2019
233 250
kozi ya environmental sciences and management inayotoleawa ardhi kwa level ya degree yupo ndugu amemaliza ila anatafuta mwanga wa kujiajiri mwenyewe. kuanza kujiajiri kwa mtaji mdogo. cpa hajapitia (nemc) naombeni msaada
 
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
1,343
Points
2,000
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
1,343 2,000
kozi ya environmental sciences and management inayotoleawa ardhi kwa level ya degree yupo ndugu amemaliza ila anatafuta mwanga wa kujiajiri mwenyewe. kuanza kujiajiri kwa mtaji mdogo. cpa hajapitia (nemc) naombeni msaada
Kujiajiri sio lazima utumie hyo fani yako bali ni ubunifu wako tu wa kujifunza vitu mbalimbali.
Unaposema kujiajiri kwa kutumia hyo fani ni kwa kujipanga sana maana yake utahitajika usajili kampuni uwe contractor au consultant na kuanza kutafuta tender Kama unavyowaona contractors wa civil engineering.
Kwa hyo sio Jambo la mchezo mchezo kwamba umetoka chuo tu na kukurupuka.
 
punditt

punditt

Member
Joined
Feb 19, 2019
Messages
68
Points
125
punditt

punditt

Member
Joined Feb 19, 2019
68 125
Me nikushauli mkuu jitahid kubuni kitu ambacho Lipo nje ya fan yako then baadae uje ujiajiri huko unakotaka
 
Mr.laravel

Mr.laravel

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2015
Messages
460
Points
500
Mr.laravel

Mr.laravel

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2015
460 500
Wengi waliosoma kozi hiyo nawaona wanafanya kozi za muda mfupi za osha na kuwa health and safety consultant /health and safety officers kumbuka ili uweze kujiajiri unatakiwa uwe na uzoefu au uwezo kwenye nyanja fulani.unaweza kuanza kwa kuajiriwa huku ukijifunza mambo mbalimbali na baadae ukaendelea ba wazo lako la kujiajiri.
 
Lord eyes

Lord eyes

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2018
Messages
5,079
Points
1,995
Lord eyes

Lord eyes

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2018
5,079 1,995
Kama ana shamba lenye rutuba nzuri ametoka kimaisha
 
KATASAN'KAZA

KATASAN'KAZA

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Messages
2,903
Points
2,000
KATASAN'KAZA

KATASAN'KAZA

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2013
2,903 2,000
Mwambie aende NEMC wanatoa training za certification za EIA ambapo anaweza kufanya kazi km private evaluator wa mazingira
kozi ya environmental sciences and management inayotoleawa ardhi kwa level ya degree yupo ndugu amemaliza ila anatafuta mwanga wa kujiajiri mwenyewe. kuanza kujiajiri kwa mtaji mdogo. cpa hajapitia (nemc) naombeni msaada
 
M

Mr increase

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Messages
233
Points
250
M

Mr increase

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2019
233 250
shukurani za dhati wadau pendwa mliotoa ushauri na hakika nimepata kitu kutoka kwenu asanteni
 
Forum statistics

Threads 1,315,672
Members 505,292
Posts 31,866,345
Top