Kuna anaewafahamu Malawi Cargo Center Limited?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
mambo aje wandugu?hivi hawa jamaa wanalipa kiasi gani na mazingira yao ya kazi yako vipi?
 
Hilo ni shirika la wamalawi,wanahusika na upokeaji na usafirishwaji wa mizigo kutoka bandari ya dsm to malawi.wana vituo viwili,dar na mbeya.kuhusu mshahara cjui wanalipaje ila kuna mdau alikua pale akafukuzwa anasema wanajitahdi kulipa vzr,wanatoa usafiri,nyumba,overtime na posho zingine.
 
Back
Top Bottom