Yani mpaka yamekamata pangaboi letu.Mabeberu wana dharau sana
Dogo kaona huyo siunaona alivyogeuka.Mabeberu wana dharau sana
Halafu hii mechi kama imeanza tatu bila.Dogo anaondoka na tukio
Hili tukioana dogo anaweza kuli rewind sehemu isiyotakiwaHalafu hii mechi kama imeanza tatu bila.
Anyway, akikua lazima amlipie mama.
Zamani tuliokuwa na dada tulisema wachq na sisi tutafute wachuchu tulipe wanayofanyiwa dada zetu.