Kuna anaemjua vizuri huyu dogo?

IJIGHA NDIO HOME

JF-Expert Member
Jul 13, 2019
576
1,000
Wakuu habarini za wakat huu

Kuna Dogo mmoja anaitwa semah g weifur kutoka Liberia ni msanii Wa nyimbo za injili.kuna nyimbo nyingi kaimba na jamaa kutoka Nigeria Mr flavour. Nikimcheki vizur huyu kijana kwenye video zake nikama vile nikipofu yan haoni.mwenye yoyote kumjua huyu Dogo atupe details zozote mm na wanaopenda kumfahamu
FB_IMG_16221703585881099.jpg
 

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,629
2,000
Ukigugo unapata nini mkuu. Ukipata naomba nikopi namimi nijue
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom