Kuna anaemjua hata mmoja kati yao

rushanju

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
3,130
4,619
Wale wafanyakazi ambao sisi tuliaminishwa kuwa watarudi kazini baada ya vyeti vyao kuonekana kuwa havikuwa na tatizo je wamerudi kweli kazini? Je kuna mtu anaefahamu hiyo orodha ya watu hao? Je walisema hayo kabla ya bunge la bajeti kusudi bajeti yao ipite salama? Naomba anaejua lolote atufahamishe jamani
 
Mimi namfahamu mmoja ila alibadilishiwa kituo cha kazi lkn hapa hapa Dar.
 
Back
Top Bottom