Kuna aliyewahi sema ipo siku Mbowe atamkana Dkt. Slaa, naiona siku Mbowe anamkana Lissu

Kasinja jr

JF-Expert Member
Aug 4, 2017
1,034
1,792
Mwaka 2013 kuna uzi uliletwa hapa kuhusu siku ambayo mbowe atamkana dk slaa, watu walibeza na kutukana sana matusi ya nguoni,

Ila tukae tukijua aina ya upinzani tulionao ni wa insta, mange, sijui timu wasafi, badala ya kujadili mambo ya maana,

Nakumbuka, Mzee lowassa aliitwa fisad na wapinzani wote, leo hii ndo anampangia mbowe majukum,

Nape aliyezuia bunge live(alishikiria bango) leo hii ndo role model wao

Lakin baada ya kutoa maon yake KTN wanasema leo hakujitambua,

Nadhani aliyewadunga sindano ya ganzi wapinzani, alizidisha dose,

Ipo siku mbowe atamtenga lissu

Tusubiri
 
Umefikiri vizuri.
 
Uko Tanzania ipi? Unajua.maana ya kukana, ni kwenda kinyume na makubaliano,

Chadema haikutaka fisadi, sasa misimamo ilibebwa na slaa.,.mbowe akamkana akamleta.fisad
Kuwa mtoto ni haki yako ıla kutuonesha utoto wako huna haki hiyo. Kama Lowassa ni fisadi kweli, mwambie kaka yako ampeleke mahakamani na wewe ukatoe ushahidi! Vinginevyo ondoa utoto wako hapa.

Msione aibu risasi zenu zimekataa kumuua Lissu, kajipangeni upya.
 
Anyway, naskia posts za usiku zinakua ni double payments (14,000/=), yanaukweli haya?
Ni kweli, bali umepitwa na wakati mkuu.

Maisha yamekuwa magumu na masurufu yetu kwa siku nayo yamepanda maradufu. Guess, tunalipwa kiasi gani kwa sasa?

Ha ha. Just kidding boss.
 
Hahahahahaaa mkuuu mtoa mada bhana hahahahahahaa be seious bhana watu wanakioenda cHama chao bhna sio vzr kuwadharau ukipenda mavi utaita mbolea hahahahahaha
 
Mwaka 2013 kuna uzi uliletwa hapa kuhusu siku ambayo mbowe atamkana dk slaa, watu walibeza na kutukana sana matusi ya nguoni,

Ila tukae tukijua aina ya upinzani tulionao ni wa insta, mange, sijui timu wasafi, badala ya kujadili mambo ya maana,

Nakumbuka, Mzee lowassa aliitwa fisad na wapinzani wote, leo hii ndo anampangia mbowe majukum,

Nape aliyezuia bunge live(alishikiria bango) leo hii ndo role model wao

Lakin baada ya kutoa maon yake KTN wanasema leo hakujitambua,

Nadhani aliyewadunga sindano ya ganzi wapinzani, alizidisha dose,

Ipo siku mbowe atamtenga lissu

Tusubiri

Hivi bado sembe iko mitaani,we no wakupeleka sober house,maana Maneno yako mwanzo mwisho hueleweki,Nani alikuambia mbowe alimkana slaa,slaa alisaliti chama dakika ya mwisho kwa dinari 200 na akapewa ulinzi na wajinga ili akaongee upuuzi hotelini ndo yule binti alipomuumbua,

Namuomba bashite akukamate ukapimwe mkojo
 
Mwaka 2013 kuna uzi uliletwa hapa kuhusu siku ambayo mbowe atamkana dk slaa, watu walibeza na kutukana sana matusi ya nguoni,

Ila tukae tukijua aina ya upinzani tulionao ni wa insta, mange, sijui timu wasafi, badala ya kujadili mambo ya maana,

Nakumbuka, Mzee lowassa aliitwa fisad na wapinzani wote, leo hii ndo anampangia mbowe majukum,

Nape aliyezuia bunge live(alishikiria bango) leo hii ndo role model wao

Lakin baada ya kutoa maon yake KTN wanasema leo hakujitambua,

Nadhani aliyewadunga sindano ya ganzi wapinzani, alizidisha dose,

Ipo siku mbowe atamtenga lissu

Tusubiri
Ujinga kweli mzigo! Kama huelewi jambo si ukae kimya tuu! Mbona unawashwa washwa namna hii?
 
Mwaka 2013 kuna uzi uliletwa hapa kuhusu siku ambayo mbowe atamkana dk slaa, watu walibeza na kutukana sana matusi ya nguoni,

Ila tukae tukijua aina ya upinzani tulionao ni wa insta, mange, sijui timu wasafi, badala ya kujadili mambo ya maana,

Nakumbuka, Mzee lowassa aliitwa fisad na wapinzani wote, leo hii ndo anampangia mbowe majukum,

Nape aliyezuia bunge live(alishikiria bango) leo hii ndo role model wao

Lakin baada ya kutoa maon yake KTN wanasema leo hakujitambua,

Nadhani aliyewadunga sindano ya ganzi wapinzani, alizidisha dose,

Ipo siku mbowe atamtenga lissu

Tusubiri

Hakuna mahalikokote Mbowe aliwahi kumkana Dr.Slaa,axha uongo.Msiwemnapenda kyongea vitu vya kinafiki mradi tu mpate pesa.Inachosha as Tanzanians we have so many things to talk about nsiyo huu utumbo mnaokuja nao.

Nenda kamsikilize Dr.Slaa kama kuna mahalu Mbowe alimkana.Mbowe aliyemjengea mpaka nyumba Hugo Dr.Slaa mbona hakwenda kuichukua na ilikuwa kwa Nina la Chama??

UVCCM nawashangaa sana baada ya kumnunua DrSlaa sasa hivi mmekuwa watetezi wake wakubwa,nyie mliyemuita Mara Padre mzinifu,Mara hiki Mara kileleo ghafla amekuwa Malaika Mtujufu kabisa kuluko mwenyekiti wenu??Shame on you.

You are so low.
 
Jibuni hoja,matusi ya nini

Kuna hoja ya kujibu zaidi ya upumbavu??Mnauwezo Wa kufanya uvumbavu huu sababu ya kupewa nafasi na baadhi ya mods wasiojitambua,wanaodhani kutukana upinzani kutakuwa na viwanda
 
Aliyekuambia lowasa fisadi ni nani? Kama ni fisadi si mmpeleke kwenye mahakama za mafisadi?
Wakati wapinzani wanamuita fisadi mahakama hazikuwepo?,

Kwanini nao hawakumpeleka, au walimuita kimakosa.
 
JF mods na owners msipoangalia JF itakuwa kijiwe cha ushilawadu badala ya kujadili hoja za kulijenga Taifa tunajadili matusi na upumbavu Wa kuwajadili viongozi Wa Upinzani hususan Chadema ila kiukweli mods msiyojitambua mnatua aibu na kinyaa.
 
Back
Top Bottom