Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 19,408
- 25,926
Nachosema sio kwamba mara zote ili upate hizo nafasi za ubosile inabidi wakukute una familia N mke tayar kama jamaa alivyosema.Mbna hat the late, 1995 alirudiana na mkewe ndo akaingia kwenye kinyang'anyiro cha urais
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kama the late alikuwa ameachana na mkewe , anaishi kibachela.
Hence Ipo mizee mingi tu ndoa zao zinapumulia mipira japo wameshika idara nyeti nyeti