Kuna ajira Tanzania inaingiza zaidi ya milioni 20 (mshahara + posho) ukiachana na Mawaziri?

Dereva TCRA 4.8 anaweka kibindoni
mkuu kwel dereva analipwa hyo pesa?? ngoja nipekue mafaili yangu hapa kabatini ntafute lesen yangu ili jumatatu nizame TCRA nikaombe kaz niaze kula laif😊😊

haiwesekani wainjoi nashino keki peke yao
 
mkuu kwel dereva analipwa hyo pesa?? ngoja nipekue mafaili yangu hapa kabatini ntafute lesen yangu ili jumatatu nizame TCRA nikaombe kaz niaze kula laif

haiwesekani wainjoi nashino keki peke yao
Hahahahah tatizo connection kuipata iyo
 
Naona kuna jamaa hapa kijiweni alianzisha mjadala huu kwamba kuna watu wanavuta zaidi ya mshahara tajwa.

Tiririkeni wadau.

Kwa watoa povu kama unaoma maada haikufai mlango upo wazi nenda kaenselee kuperuzi maada zinazokufaa
Makonda alikuwa anapokea pesa ndefu zaidi ya hiyo
 
mna akili za ajabu sana nyinyi watu.

kwanza msichofahamu, kuna cheo hupewi kama huna familia rasmi,yaani unakuta wenye sifa mko wengi,ila sifa za ziada ni kama hizo,uwe umeoa na unaishi na mke wako,boss kuishi bila mke ni dalili ya kuwa na boss mhuni.
Hujui historia, kuna rais fulani mstaafu wakati anataka kuwa Rais aliambiwa na JK1 kwamba arudiane na mke wake ndio aingie kwenye nafasi ya urais, wakati mwingine ni connection tu wala sio merits.
 
Back
Top Bottom