Kuna ajira Tanzania inaingiza zaidi ya milioni 20 (mshahara + posho) ukiachana na Mawaziri?

mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
16,926
2,000
Hujui historia, kuna rais fulani mstaafu wakati anataka kuwa Rais aliambiwa na JK1 kwamba arudiane na mke wake ndio aingie kwenye nafasi ya urais, wakati mwingine ni connection tu wala sio merits.
Sijui umenikosoa nini!!!!
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,596
2,000
Mbna hat the late, 1995 alirudiana na mkewe ndo akaingia kwenye kinyang'anyiro cha urais

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Nachosema sio kwamba mara zote ili upate hizo nafasi za ubosile inabidi wakukute una familia N mke tayar kama jamaa alivyosema.

Kama the late alikuwa ameachana na mkewe , anaishi kibachela.

Hence Ipo mizee mingi tu ndoa zao zinapumulia mipira japo wameshika idara nyeti nyeti
 
cocastic

JF-Expert Member
Nov 30, 2019
7,164
2,000
Nachosema sio kwamba mara zote ili upate hizo nafasi za ubosile inabidi wakukute una familia N mke tayar kama jamaa alivyosema.

Kama the late alikuwa ameachana na mkewe , anaishi kibachela.

Hence Ipo mizee mingi tu ndoa zao zinapumulia mipira japo wameshika idara nyeti nyeti
Ni kweli kabisaaaaah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom