KIDUNDULIMA
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 966
- 540
Lipumba amebwagwa kwenye uchaguzi. Pamoja na kubwagwa yeye hakuonyesha uso wa mtu aliyeshindwa bali ni kama mtu aliyepata ushindi. Hili lilijidhihirisha wakati anatoa neno kama mshindwa hapo jana. Je nyuma ya tabasamu la Lipumba kuna ajenda gani?