Kumzomea mtu asitoe mawazo yake ni kumyima haki ya kikatiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumzomea mtu asitoe mawazo yake ni kumyima haki ya kikatiba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mbugi, Apr 8, 2011.

 1. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Hivi karibuni hususani katika harakati za kutoa ama kupata maoni ya wananchi kumejitokeza kundi mahsusi la kuzomea na kuteka uhuru wa mtu asitoe mawazo yake, binafsi nawaomba watanzania wenzangu kuacha mara moja kwani kwa kufanya hivyo tunazuia uhuru wa mtu kitu ambacho ni kinyume na katiba ya nchi, na mbaya zaidi tunaona hata viongezi wetu kama Mbowe anaunga mkono kisanii kuwa eti ni UTASHI ("MOOD") ya watu sijui kwa kutoelewa au kuelewa katiba yenyewe au wanayoajenda ya siri ya aina yake kwa katiba wanayoitaka. kumbuka kuna wakati walijitokeza watu na kulalamika wananchi walipokuwa wanambeba mh. Mrema kampeni za 1995 lakini Baba wa taifa aliwaambia watu wasishangae kwani mbona hata maiti zinabebwa. kwa dhana hii acha watu waseme kwani hapo ndipo tutakapopata pumba na unga. cha msingi kama ni uwakilishi wa kivyama kutoa maono basi kila chama kitumie fursa hii vizuri zaidi kwa kupeleka watu imara katika kuelewa.
   
Loading...