kumvalisha diapers (pampers) mtoto mara tu azaliwapo au siku chache baada ya kuzaliwa ni vibaya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kumvalisha diapers (pampers) mtoto mara tu azaliwapo au siku chache baada ya kuzaliwa ni vibaya?

Discussion in 'JF Doctor' started by kopundo, Dec 12, 2011.

 1. kopundo

  kopundo Member

  #1
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna ndugu yangu mke wake amejifungua.Nilipoenda kumwona mtoto, nilinunua zawadi ya pampers na kuzipeleka kisha nikaambiwa eti hawezi kuvalishwa kwa vile bado ni mdogo. Is this argument has any scientific foundation au zile zile misconception au myths in our society? I welcome opinions (traditional, scientific)

  Thanks
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,759
  Likes Received: 82,810
  Trophy Points: 280

  NOPE!!! There is no any justification in regards to their decision.
   
 3. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #3
  Dec 12, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,932
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  Inawezekana kuna scientific explanation. Tena sio 'pampers', wengine hata nepi hawazitumii katika siku za mwanzo...... wanatumia vipande vya kanga mara nyingi iliyokwisha tumika! Pengine kwa imani kuwa ni vilaini zaidi na hivyo vitaendana na ngozi ya kichanga.

  Binafsi kabla sijaenda against hizo myths huwa nazitizama kwa umakini mkubwa.....huwa naamini nyingi ya myths hizi zina busara fulani ndani yake. Hata hivyo sishangai sana katika hili la pampers kwa sababu ni kitu cha hivi karibuni tu.
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hahaha, hizo kanga zinaitwa 'visepe'. Hate them with all my heart! Yaani unakuta mzazi agha khan, kavaa gold etc afu mtoto kapigwa kisepe kimepaukaaaa!
  Siku hizi watu hawanunuliwi zawadi banaa,unapeleka wine ya baba ama hela. Kuna mtu aliniambia mwanae anavaa 'pampers' original na maziwa anaagiza from UK, (mind u zote kwa ujumla ni 'diapers'). Sasa ukienda na vi-diaper vyako brandless vya kkoo ndo utaanza kusema wanadharau,lol
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Totally agree. Diapers hazina tatizo as long as zinabadilishwa kila baada ya masaa 4. Na iangaliwe mara kwa mara incase haja kubwa imetokea. Hata hivyo kutokana na hali ya hewa mtoto wa any age hapaswi kuvaa diaper 24/7, walau apate upepo mara chache.
   
 6. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #6
  Dec 12, 2011
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  Kila kitu kina hasara na faida zake...............get picha ya mtoto kavalishwa diaper mpka linagusa umbilical cord ambayo bado inahitaji kukauka kwa usafi wa hali ya juu......diaper limetoka store, dukani, ndo home......possibility ya contamination ni kubwa...wengine wanadhani diaper ni kama choo yaani mtoto ana over stay in contact na body wastes sometimes in some families......

  Visepe (c lazima ziwe kanga used: waweza nunua kitambaa cheupe cha cotton na kukikata size ya nappy...ifuliwe na kupigwa pasi kabla ya kuanza kutumika) or nappies for new borns (zile soft with no villi) zaweza kupigwa pasi kila inapohitajika kuvaliwa na zinakunjwa to fit the baby without kugusa cord kwangu hii ndo advantage ya old is gold

  Cha muhimu kujua ni kuwa new borns are extremely delicate na unahitajika umakini wa hali ya juu ili abaki kuwa mwenye afya, kulea ni demanding jamani so tuamue kuzaa tukijua kuwa a permanent and sustainable engagement is needed

  Kwa wale wa mfumo dume now get a picture ya mzigo unaomuachia mkeo.........usibwate pale kila unapoleta nguo ya mtoto wa umri fulani kwa mtoto wako ikawa kubwa...........ni kwa sababu wewe baba umempunja mwanao physical attendance ambayo ni katika ukuaji wake

  Kama vipi ncheki baadaye.....migandamizo iendeleee mpaka wanetu wawe na afya tarajiwa
   
 7. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #7
  Dec 12, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Well said...issue iko hapo tuu kwenye red...unless otherwise no any other issues

 8. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #8
  Dec 12, 2011
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  Kila kitu kina hasara na faida zake...............get picha ya mtoto kavalishwa diaper mpka linagusa umbilical cord ambayo bado inahitaji kukauka kwa usafi wa hali ya juu......diaper limetoka store, dukani, ndo home......possibility ya contamination ni kubwa...wengine wanadhani diaper ni kama choo yaani mtoto ana over stay in contact na body wastes sometimes in some families......

  Visepe (c lazima ziwe kanga used: waweza nunua kitambaa cheupe cha cotton na kukikata size ya nappy...ifuliwe na kupigwa pasi kabla ya kuanza kutumika) or nappies for new borns (zile soft with no villi) zaweza kupigwa pasi kila inapohitajika kuvaliwa na zinakunjwa to fit the baby without kugusa cord kwangu hii ndo advantage ya old is gold

  Cha muhimu kujua ni kuwa new borns are extremely delicate na unahitajika umakini wa hali ya juu ili abaki kuwa mwenye afya, kulea ni demanding jamani so tuamue kuzaa tukijua kuwa a permanent and sustainable engagement is needed

  Kwa wale wa mfumo dume now get a picture ya mzigo unaomuachia mkeo.........usibwate pale kila unapoleta nguo ya mtoto wa umri fulani kwa mtoto wako ikawa kubwa...........ni kwa sababu wewe baba umempunja mwanao physical attendance ambayo ni katika ukuaji wake

  Kama vipi ncheki baadaye.....migandamizo iendeleee mpaka wanetu wawe na afya tarajiwa
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Dec 12, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,759
  Likes Received: 82,810
  Trophy Points: 280

  Ahsante sana Dr....wengine wana imani ambazo kwa kweli zimepitwa na wakati.
   
 10. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #10
  Dec 13, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  ......disposable diapers is the best one, hazina tatizo lolote. Muhimu ni kubadilisha diaper baada ya kuwa wet, usimuache mtoto avae muda mrefu.

  Na kama una newborn, kuna diaper special kwa ajili ya vichanga ili zisiguse kitovu.
   
Loading...