Kumuua mnyama kwa Kumpiga na rungu ni uonevu

oluku

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
350
71
Kuna watu hawana huruma kabisa. Hv kweli kw mfano humtaki mmbwa, paka aishi nawe ndo um bonde na marungu?

Hali hii imeniskitisha sana baada ya kuona mtu mwenye akili zake kumpa mtu kibarua ya kumuua mmbwa wake eti hamtaki tena. Mbwa ni mzima na wala hana kichaa.pia ni mzazi. Nilimuuliza kwanini anafanya hivyo hakunijibu.
 
Me mwenyewe sipendi sana hii tabia, mijitu ina roho mbaya.
Hata wanyama mimea ina haki ya kuishi,
Huyo mtu unaweza mfungulia mashitaka.
 
Umenikumbusha miaka ya tisini,kuna operation ilipita mtaani kwetu ya kuua mbwa wasiochanjwa.Lungu ndio lilitumika kuulia mbwa,kuna mbwa mmoja alipigwa lungu akatapika na kudondoka na kisha kuinuka na kulamba matapishi yake,tulimshangilia sana,kisha akatoka mbio kuelekea porini.Baada ya siku mbili jamaa walirudi na kumkuta,walimuua RIP Cheni.
 
kama unafuga nguruwe na unataka kula nyama lazima umpige na shoka kama saba ivi ili afe!
 
hili jambo hata me nimeliona hapa nnapokaa linaumiza kusikia linapotokea.
 
Dah! Kamuua bure huyo mbwa! Kuna mdau hapa alitafuta mbwa kwa udi na uvumba!
 
Taarifa yako peleka ustawi wa jamii humu tunajadili mambo ya msingi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom