Kumuenzi Mwalimu ina-bore sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumuenzi Mwalimu ina-bore sasa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwana Wa Maryam, Oct 29, 2007.

 1. M

  Mwana Wa Maryam Member

  #1
  Oct 29, 2007
  Joined: Oct 22, 2007
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna kicha habari IPPMEDIA:Si inawezekana kurekebisha uchumi na kumuenzi Mwalimu?

  Wangine wanasema: Tupigane na rushwa kumuenzi Mwalimu.

  Hivi vitu vizuri vinafanyika kumu-enzi mtu au kwa manufaa yetu?
   
Loading...