Kumuamini mwanamke ni tatizo

🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka sana
Ningekua na kaela ningekununulia japo kasoda
You just made my day🤣😅🤣🤣🤣🤣🤣
At least umeelewa concept yangu 🤣🤣🤣 ukicheka wewe Furaha yangu inaongezeka. Good day
 
Wewe Kenzy ni shidaaaaaa🤣🤣🤣
Utaona Sasa Kama huu mjadala utaisha mtakuwa mnapumzika tu mnarudi Tena mpk na vitukuu vyenu watajadili.. chakufanya nyie ishini tu kila mmoja apambane na bomu lake huko.😂
 
Back
Top Bottom