Ugm bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,150
- 5,659
Awap awo wanaowaita kina yesu ni stor tu hawajawahi kuwako, ther are imaginary characters made to brainwashe stupid people through religions...Mungu yupo kwel ila sio uyo anaetaka tumsujud kwa kuwaamini kina yesu,,,,matendo yako ndio yanakupereka mbnguni tuu. A sio takataka ziitwazo dniHalafu unaambiwa bila Yesu hakuna kufika mbinguni.
Na huku wengine wanakwambia Mtume Muhammad ndiye mjumbe wa kweli wa Mungu.
Sasa hawa Waafrika wote waliokufa bila kumjua Yesu wanaenda motoni?
Hawa Waafrika wote waliokufa kabla ya kumjua Allah na mtume wanaenda motoni?
Mungu karuhusu hawa watu mabilioni waende motoni kuungua milele? Kwa sababu hawakumjua Yesu/Allah ?