Kumuacha Mke kwaajili ya kazi au kuacha kazi kwaajili ya Mke?

Sidhani kama hilo ni swali la kujiuliza mara mbili endapo hiyo kazi ni ndani ya nchi hii japo ilitakiwa ueleze hali ilivyo ili tukushauri vizuri,
Kazi kwanza mapenzi badae na sidhani kama kazi itakufanya umuache mke wako otherwise una agenda yako
Shida ya wanadamu unaacha kila kitu kwa ajili yake na bado hakuthamini

Nakumbuka miaka kadhaa ya nyuma mmewangu alikuwa anaenda kusoma nje ya nchi kwa kipindi cha miaka miwili basi akawa anawaza eti ataniachaje akanambia au asiende nkamwambia we acha ujinga nenda shule kwanza mi utanikuta
 
Maelezo yako hayajitoshelezi?

Yanaacha maswali mengi Sana inayotuwia vihumu kukupa majibu unayotarajia
 
Naomba kufahamu jambo gani sahihi kati ya kumuacha Mke kwaajili ya kazi au kuacha kazi kwaajili ya Mke? Maana mazingira yaliyopo yananifikirisha naombeni tu ushauri juu ya hili wana JF
Bila kazi huwezi kuisha na mwanamke.
 
ukiacha kazi tu, mke atagawa kvma kama hana akili nzuri

mke umekutana nae ukubwani, fanya maamuzi sahihi

piga mke chini, tafuta mwengine
 
Una umri gani kijana,, Kama umeambiwa uchague kimoja kati ya hivyo Basi nakuchagulia kazi,, kaka ishike kazi yako km roho,, hapa ndo naona kuwa dogo langu la kiume ni lidume,Kuna kidem kilileta ushenzi na nyodo wa kuanza kumkimbiza dogo eti kwa vile ndo kilikuwa kimeajiriwa na dogo alishatoa mahari nusu akajaa kiburi akasema inabidi dogo aache kazi ili akamuoe na kuishi alipo yeye mwanamke, aliachwa hapo hapo hajaamini mpk leo😅
 
Huyo mke ulimtengeneza wewe? Nenda ukaripoti kazini na umwambie utamtembelea kila upatapo muda.

Akiwa hatak uende kazin mwambie, aende anakotaka na wewe lazma utinge job. Ova
 
Japo hujaeleza kama wengi walivyo uliza ila usiache Kazi kwa ajili ya mwanamke. Na usije ukadanganyika kama atakuambia yeye atatoa saport zote ukaingia mtegoni.

Yawezekana mke wako ana uwezo huo wa kutunza familia lakini amino nakuambia itafanya hivyo kwa mda baadae atachoka hapo ndio utakapo jua kuwa hao viumbe hawafai. Itatikanwa kíla aina ya matusi ikitokea mmekwaruzana na mwisho wa siku atakuacha.

Nina mifano hai miwili kupitia kwangu ningekupa lakini kuandika ni ishu.

Nakazia kwa waliokukataza kuwa chonde chonde usiache Kazi we piga tu chini huyo.

Jwa dunia ya sasa ni Rahisi kupata mwanamke kuliko Kazi.
 
Una umri gani kijana,, Kama umeambiwa uchague kimoja kati ya hivyo Basi nakuchagulia kazi,, kaka ishike kazi yako km roho,, hapa ndo naona kuwa dogo langu la kiume ni lidume,Kuna kidem kilileta ushenzi na nyodo wa kuanza kumkimbiza dogo eti kwa vile ndo kilikuwa kimeajiriwa na dogo alishatoa mahari nusu akajaa kiburi akasema inabidi dogo aache kazi ili akamuoe na kuishi alipo yeye mwanamke, aliachwa hapo hapo hajaamini mpk leo
Kazi yenyewe sasa ndugu yangu
 
Back
Top Bottom