Kumuacha Mke kwaajili ya kazi au kuacha kazi kwaajili ya Mke?

Ni wanawake wachache sana ambao watabaki na heshima ileile kwa waume/ wapenzi wao, pindi wanapokuwa hawana kazi ya kuwaingizia kipato kwa muda fulani.
Ukitaka kuziona rangi halisi za hawa viumbe basi wewe uwe jobless halafu unataka kuonyesha "uanaume" wako.
 
@Noelia kwahy hakuna mazingira yoyote yanayoniruhusu Mimi nichague kuacha kazi? Yaan mazingira yoyote Yale nichague kuacha mwanamke?
Wee jamaa sasa unazingua. Mwanamke kakupa ushauri ya kiacha mwanamke yaani bado u auliza mara mbili mbili. She talking from point of exeprience anwajua jinsia ke vizuri braza
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom