cmases
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 1,766
- 1,425
Achana na haya maandishi ya upande mmoja!!Kwahiyo Uganda hawakutuchokoza kwa kuivamia Kagera?
Achana na haya maandishi ya upande mmoja!!Kwahiyo Uganda hawakutuchokoza kwa kuivamia Kagera?
mambo ya ndani ya nchi hayo, Uganda ni nchi huru, si ndio wanajibu hapa Tz wakikosolewa? kwani Nyerere hakuwa mbabe pia kwa watu aliowaona wanampa challenge kisiasa? Nyerere ana tofauti gani na akina Obama aliyempimdua Ghaddhafi madarakani kisa alikuwa akiua raia wake ambao Magufuli na nchi nyingi za Afrika kila siku zinapiga kelele kulaani kuwa ni mabeberu?Sasa mauaji ya wananchi wake aliyofanya amini ulitaka aachwe?
Idd Amin alikuwa ni dikteta kichaa kichaa, asietabirika..Kagame na Museveni ni madikteta ila wapo stable kichwaniHawa wote walikuwa madikteta wakitofautiana styles
Mpaka sasa hakuna sababu makini ya vile vita, ndio maana hata walio take over akina M7 na PK bado wana u Dictator
Hivi Idd Amin ana tofauti gani na M7 au PK ?? na wote walikuwa trained hapa kwetu
Achana na Idd Amin ambaye ameishakufa jee M7 na PK nao wafanywe nini ????
Kwani wamo?Hivi yamekuhusuni vipi mambo ya nchi nyengine? Kwanini musishughulike na ya kwenu tu? Kama kweli munataka kushughulikia madikteta mungeenza ndani ya nchi yenu.
😂😂😂😂Hivi yamekuhusuni vipi mambo ya nchi nyengine? Kwanini musishughulike na ya kwenu tu? Kama kweli munataka kushughulikia madikteta mungeenza ndani ya nchi yenu.
Hapo alipopatia ni wapi? Kuvifadhili vikundi vya kiasi vya kina obote wakati wa utawala wa Amini kule Uganda?
Kuifadhili ASP na kufanya Mapinduzi kule Unguja?
Au kumuhifadhi Kabila?
Kwa hizi line nne Za sentence. Ndio unataka ubadili fikra hizokwangu mimi idd amin ni rais ambaye anapaswa kuigwa........acheni kudanganywa na mikanda ya propaganda ndo mtaelewa kwanini nasema idd amin ni rais wa kuigwa
Hukupata wasaa wa kukaa nae ukasikiliza maelezo yake,hukupata kukaa na waganda chini ya utawala wa Amin ukawahoji,maneno yako ya bias kwa kuwa umesoma tu historia ya upande mmoja! Ni sawa na sheikh kuombea kitimoto wakati kwa imani ya kiisilamu ni jambo lisilokubalika! Rudi kwenye maandiko, pitia historia za pande zote za mgogoro kisha uje kuedit bandiko lako!Habari wakuu,
Kitendo cha kumuacha idd amin dada akimbie na kumuacha mpaka afe kwa amani kilikuwa ni mfano mbaya sana kwa madikteta, sasa madikteta wanajua wanaweza kuichezea nchi yetu na wakakimbia bila kuchapwa, huu ulikuwa ni mfano mbaya sana, kosa kama hili tusilirudie tena
Asanteni
Tulikosea sana kuacha afe salamaVita hiyo imetutia UMASKINI mkubwa hata mpaka hivi sasa.
Sawa mkuu 😂😂Hukupata wasaa wa kukaa nae ukasikiliza maelezo yake,hukupata kukaa na waganda chini ya utawala wa Amin ukawahoji,maneno yako ya bias kwa kuwa umesoma tu historia ya upande mmoja! Ni sawa na sheikh kuombea kitimoto wakati kwa imani ya kiisilamu ni jambo lisilokubalika! Rudi kwenye maandiko, pitia historia za pande zote za mgogoro kisha uje kuedit bandiko lako!
Labda ni padriSorry wakuu, kwani M7 aliyekaa madarakani 33 yes ni dikteta?
Amin alikuwa muungwana na muwazi kwa kuwa alikuwa anaua wazi na kuzika wazi. Museven anaua kwa siri na kuzika kwa siri so kutojua kwamba anaua haina maana kwamba yeye ni mzuri kuliko Id Amin! Kilichotokea ilikuwa vita vya ubepari na Ujamaa na ukiwa ni mfuatiliaji mzuri wa historia utakumbuka Amin alipata support kubwa sana na mataifa yaliyokuwa na policy ya ubepari wakati mjamaa Nyerere akisimama mwenyewe kwa kuwa marafiki zake waliokuwa na Ideology ya Ujamaa walikuwa wanachechemea kama sisi. Asante!Sawa mkuu 😂😂
Asante kwa elimuAmin alikuwa muungwana na muwazi kwa kuwa alikuwa anaua wazi na kuzika wazi. Museven anaua kwa siri na kuzika kwa siri so kutojua kwamba anaua haina maana kwamba yeye ni mzuri kuliko Id Amin! Kilichotokea ilikuwa vita vya ubepari na Ujamaa na ukiwa ni mfuatiliaji mzuri wa historia utakumbuka Amin alipata support kubwa sana na mataifa yaliyokuwa na policy ya ubepari wakati mjamaa Nyerere akisimama mwenyewe kwa kuwa marafiki zake waliokuwa na Ideology ya Ujamaa walikuwa wanachechemea kama sisi. Asante!
Mkuu kati ya Iddi Amini na Obote nani alikua Muasi?
Tulikosea kumpokea obote kama mkimbizi kwenye nchi yetuWakati Iddi Amini akiwa raisi Obote alikua ni muasi.
Hivi labda nikuulize tu, Kwa mfano Kambona angetimkia Kenya halafu akawa anasaidiwa na Kenyata katika mapambano ya kujaribu kumuondoa Mwalimu madarakani hivi wewe unahisi Serekali ya Mwalimu ingelichukua maamuzi gani?
Inawezekana ila ilitakiwa tumtumie majasusi hukohuko saudiaulishindwa kumshika sio ulimuacha