MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,707
- 71,003
- Thread starter
- #81
Hata mimi mkuuMmmm..OK.Hapa napo nimejifunza kitu nilichokuwa sikifahamu.
Hata mimi mkuuMmmm..OK.Hapa napo nimejifunza kitu nilichokuwa sikifahamu.
Hahaaa mimi sifai kabisa mkuu wanguWewe peke yako mkuu unatosha
😂😂😂😂Hahaaa mimi sifai kabisa mkuu wangu
Kweli mkuu tusirudie kosa
Nigeria-TZ diplomatic saga Ndio mwanzo wa viwanja vya biafra sio?
Mwalimu lazima apewe sifa yake ya Ubinadamu, kama binaadam Kuna sehemu aliharibu
Na alikuwa anakiri hadharaniMwalimu lazima apewe sifa yake ya Ubinadamu, kama binaadam Kuna sehemu aliharibu
Hapo alipopatia ni wapi? Kuvifadhili vikundi vya kiasi vya kina obote wakati wa utawala wa Amini kule Uganda?
Kuifadhili ASP na kufanya Mapinduzi kule Unguja?
Au kumuhifadhi Kabila?
Sasa mauaji ya wananchi wake aliyofanya amini ulitaka aachwe?Ukweli ni kwamba, toka Amini Achukue Nchi, Mwl alifadhili vikundi vya wakina Obote na vinginevyo vikawa vinaingia Uganda vinashambulia vikitokea maporini mpakani upande wa TZ Kagera.
Amini alijaribu kuongea hili na Mwalimu, alivoona mambo yanaendelea akachukua maamuzi japo likawa ndio anguko lake
Hivi mpaka leo 2019 bado mnalialia tu hajapata pa kujishikia? Dah..Magu kaza zaidi.Habari wakuu,
Kitendo cha kumuacha idd amin dada akimbie na kumuacha mpaka afe kwa amani kilikuwa ni mfano mbaya sana kwa madikteta, sasa madikteta wanajua wanaweza kuichezea nchi yetu na wakakimbia bila kuchapwa, huu ulikuwa ni mfano mbaya sana, kosa kama hili tusilirudie tena
Asanteni
Habari wakuu,

Mbona mseven anadunda pale Uganda na hamumfanyi kitu,sembuse aliekuwa uarabuni.Habari wakuu,
Kitendo cha kumuacha idd amin dada akimbie na kumuacha mpaka afe kwa amani kilikuwa ni mfano mbaya sana kwa madikteta, sasa madikteta wanajua wanaweza kuichezea nchi yetu na wakakimbia bila kuchapwa, huu ulikuwa ni mfano mbaya sana, kosa kama hili tusilirudie tena
Asanteni
😁😁😁😁Kwa hiyo kuna dikteta hapa nchini unahisi atatuponyoka kama IDDI AMINI DADA AU?
😂😂😂😂M
Mbona mseven anadunda pale Uganda na hamumfanyi kitu,sembuse aliekuwa uarabuni.
Mbona alikuwa anaua sana wananchi wakeAmin hakuwa dikteta ni propagada za nyerere tu
Mbona alikuwa anaua sana wananchi wake
Kwa hiyo tuwaache tu hawa madikteta waendelee kuua watu?Hata Nyerere aliua sana wananchi wake.
Karume Aliua sana wananchi wake
Kagame anaua sana wananchi wake
Jiwe ??????????????
Je hawa wao vipi ?
Kwa hiyo tuwaache tu hawa madikteta waendelee kuua watu?