Kumuacha Idd Amin dada afe kifo cha asili tulifanya mfano mbaya sana kwa madikteta

Mwalimu lazima apewe sifa yake ya Ubinadamu, kama binaadam Kuna sehemu aliharibu

Hapo alipopatia ni wapi? Kuvifadhili vikundi vya kiasi vya kina obote wakati wa utawala wa Amini kule Uganda?
Kuifadhili ASP na kufanya Mapinduzi kule Unguja?
Au kumuhifadhi Kabila?
 
😁😁😁😁
 
Ukweli ni kwamba, toka Amini Achukue Nchi, Mwl alifadhili vikundi vya wakina Obote na vinginevyo vikawa vinaingia Uganda vinashambulia vikitokea maporini mpakani upande wa TZ Kagera.
Amini alijaribu kuongea hili na Mwalimu, alivoona mambo yanaendelea akachukua maamuzi japo likawa ndio anguko lake
Sasa mauaji ya wananchi wake aliyofanya amini ulitaka aachwe?
 
Habari wakuu,

Kitendo cha kumuacha idd amin dada akimbie na kumuacha mpaka afe kwa amani kilikuwa ni mfano mbaya sana kwa madikteta, sasa madikteta wanajua wanaweza kuichezea nchi yetu na wakakimbia bila kuchapwa, huu ulikuwa ni mfano mbaya sana, kosa kama hili tusilirudie tena
Asanteni
Hivi mpaka leo 2019 bado mnalialia tu hajapata pa kujishikia? Dah..Magu kaza zaidi.
 
Kwa hiyo kuna dikteta hapa nchini unahisi atatuponyoka kama IDDI AMINI DADA AU?
Habari wakuu,

Kitendo cha kumuacha idd amin dada akimbie na kumuacha mpaka afe kwa amani kilikuwa ni mfano mbaya sana kwa madikteta, sasa madikteta wanajua wanaweza kuichezea nchi yetu na wakakimbia bila kuchapwa, huu ulikuwa ni mfano mbaya sana, kosa kama hili tusilirudie tena
Asanteni
 
M

Mbona mseven anadunda pale Uganda na hamumfanyi kitu,sembuse aliekuwa uarabuni.
 
Hata Nyerere aliua sana wananchi wake.
Karume Aliua sana wananchi wake
Kagame anaua sana wananchi wake
Jiwe ??????????????

Je hawa wao vipi ?
Kwa hiyo tuwaache tu hawa madikteta waendelee kuua watu?
 
Back
Top Bottom